TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Spikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania Mhe. Anne SemambaMakinda (Mb) anatarajiakurejeanchinisikuyaAlhamisitarehe 30 Januari 2014 akitokea Geneva, Uswisialikoendakuhudhuriamkutanowa kwanza waKamatiyaMaandaliziyaMkutanowaNnewaMaspikaDunianiutakaofanyikamwishonimwamwaka 2015. KamatihiyoinayoundwanaMaspika 37 walioteuliwanaRaiswaUmojawaMabungeDuniani (IPU) imekutanatarehe 27 – 28 Januari 2014 kwenyeMakaoMakuuyaUmojawaMabungeDunianiMjini Geneva. MkutanowapiliwaKamatihiyoyaMaandaliziutafanyikamwishonimwamwakahuu.
Aidha, kablayakwendaGeneva, Mhe.Spikaalihudhuriamkutanowa 22 waMaspikawaMabungeyaNchiwanachamawaJumuiyayaMadola(CPA) uliofanyika Wellington, New Zealand kuanziatarehe 22 hadi 24 Januari 2014.
Kwaujumla, ushirikiwanchikwenyeMikutanoyaKimataifahuwafursanzuriyakuitangazanakuipaheshimanchiyetu. Vile vileMikutanohiyohuwajukwaamadhubutilinalotumikakuiwekanchikatikaramaniyadunianakuonyeshavivutiohususankatikanyanjazauwekezaji, utaliinamaliasilipamojanafursambalimbalizilizomo.
Imetolewana:
IdarayaHabari, ElimukwaUmmana
UhusianowaKimataifa,
Ofisiya Bunge,
DAR ES SALAAM
28 Januari 2014