Familia ya Nestor Mwombeki Rweyemamu ya Mt. Vernon New York inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Theonestina Rweyemamu kilichotokea Feb 1st 2014. Valhalla New York.
Marehemu ni mama yake Doris, Emmanuel , Steven and Diana Rweyemamu.
Mipango ya mazishi inaendelea kufanyika kumpeleka mama yetu nyumbani Bukoba Tanzania.
Tunahitaji kukusanya kiasi cha 10000 us dollars katika mipango ya mazishi.
Familia itashukuru msaada wowote wa kuwasaidia kuweza kufanikisha mpango wa kumsafirisha mama yetu kwa kutoa chochote kwenye Bank of America , account number 483044166145 routing number 021000322 na jina kwenye account ni Doris Rweyemamu.
Mtakaoweza kufika kwenye Msiba address ni: 40 East Sidney Avenue, Apt # 10C , Mount Vernon, NY 10550. Na namba ya simu ya nyumbani ni 914-667-6456.
Kwa maelezo zaid unaweza piga simu:
Emmanuel Rweyemamu 6462342418, Steven Rweyemamu 3028837971, Dr. Abbas Byabusha 9145847502, Doris Rweyemamu 6463799135.
Bwana ametoa na Bwana ametwa. Amen.