Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BREAKING NEEEWZZZ!!! VURUGU KUBWA ZIMEZUKA MOMBASA KENYA NA KUZUA MTAFARUKU...

Askari akijihami wakati wa vurugu kubwa zilizozuka leo majira ya jioni Jiji la Mombasa wakati Waumini wa dini ya Kiislamu wa Msikiti 'Masjid Mussa' ambapo waumini hao wamedaiwa kuwa walikuwa wameandaa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ALIPOONGOZA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA KUZALIWA CCM...

Mwenyekiti wa chama chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Wananchi na Wanachama wakereketwa wa chama hicho,mapema leo jioni kwenye kilele cha maadhimisho ya kusherehekea kilele cha miaka 37 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AONGOZA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA...

 Makamu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongoza matembezi ya mshikamano wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa CCM, zilizofanyika kwenye Uwanja wa...

View Article

*TAARIFA YA MSIBA

Familia ya Nestor Mwombeki Rweyemamu ya Mt. Vernon New York inasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Theonestina Rweyemamu kilichotokea Feb 1st 2014. Valhalla New York.Marehemu ni mama yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN ATEMBELEA CHUO CHA WANAWAKE CHA MAFUNZO YA KAZI...

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi mara alipowasili katika Chuo cha Mafunzo ya Amali kiitwacho Tilonia,Wilaya ya  Ajmer  Jimbo la Rajastan akiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMIA WAMZIKA MEJA MSTAAFU SAMWEL ISAAC CHEKINGO KWENYE MAKABURI YA...

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakibeba mwili wa marehemu Meja Mstaafu Samwel Isaac Chekingo mara baada ya kuwasili nyumbani kwake Kinondoni kwa ajili ya ibada maalum.Marafiki wa karibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE ATEMBELEA KUKAGUA MAJENGO YA BUNGE DODOMA KUELEKEA BUNGE LA KATIBA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya Siti za kukaa ndani ya ukumbi wa Bunge mjijini Dodoma wakati alipotembelea na kukagua kampuni inayokarabati na kufanya marekebisho kwa ajili ya kupokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KUANZA KUJENGA ENEO LA MSATA BAGAMOYO MKOA...

 Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) c Bw Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakariakuanza kujengwa  Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TFF KUADHIMISHA MIAKA 50 NDANI YA FIFA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litaadhimisha miaka 50 tangu lipate uanachama wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (TFF) kwa shughuli mbalimbili ikiwemo michezo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MECHI YA YANGA 'KUVUNJA MWIKO' WA MBEYA CITY YAINGIZA SH. MIL 175

MCHEZO wa Ligi Kuu ya Vodacom  Tanzania Bara (VPL) kati ya wenyeji Yanga na Mbeya City iliyochezwa jana (Februari 2 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza jumla ya sh. 175,285,000.Mechi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAMA SALMA KIKWETE AKIZINDUA SHEREHE YA KUMBUKUMBU YA KUTIMIZA MIAKA 37 YA...

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi kadi ya CCM kwa mwanachama mpya wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Asha Chadenje aliyehama kutoka Chama Cha Wananchi,CUF wakati wa sherehe za uzinduzi wa sherehe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MSHABIKI MBARONI KWA MADAI YA TIKETI FEKI

Mashabiki mmoja anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba iliyochezwa jana (Februari 2 mwaka huu) Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HABARI KUTOKA TFF

*RAIS WA TFF ATEMBELEA RUANGWARais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametembelea Chama cha Mpira wa Miguu Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi.Katika ziara hiyo aliyoifanya jana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MA-BLOGGER 'WAJINAFASI' NA MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA KIKWETE

 Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ma-bloggers wa Tanzania wakati wa sherehe za kuadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KATUNI YA LEO, KAZI IPO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAN CITY ILIPOKUBALI KICHAPO NYUMBANI

Kipa wa Man City, akiruka kujaribu kuokoa moja ya hatari bila ya mafanikio, wakati wa mchezo wa Ligi ya England uliochezwa jana usiku kwenye dimba la Etihad. Katika mchezo huo Chelsea ilishinda bao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP MANGU

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini...

View Article


*VIDEO YA KWANZA ILIYOANZISHA KIJIWE CHA UGHAIBUNI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KINANA AFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU DKT. MGIMWA

 Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo...

View Article

*BREAKING NEEEEWZZZ!!!! JESHI LA WANAMAJI LAKAMATA RAIA WA KIGENI 12 WAKIWA...

Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa Jeshi la Wanamaji, limefanikiwa kuwanasa Raia wa kigeni 12 kutoka Pakstan na Iran, wakiwa na shehena ya madawa ya kulevya wakisafirishwa kwa...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>