Mwenyekiti wa wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya ma-bloggers wa Tanzania wakati wa sherehe za kuadhimisha sherehe za miaka 37 za uhai wa CCM uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana picha ya pili chini.