Makamu mwenyekiti wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM) c Bw Kasmiri Nyoni akizungumza kuhusu utanuzi wa chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kinakariakuanza kujengwa Msata wilaya ya Bagamoyo Pwani kitakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi wapatao elfu thelathini elfu kulia kwa makamu wachuo ni Mkuu wa chuo cha ifm Profesa Godwin Mjema nakushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa Kituo kinacho toa elimu kwa njia ya mtandao nchini Tanzania Charles Senkondo Picha na Chris Mfinanga
Uongozi wa chuo cha ifm kilipo tembelea eneo kitakapo jengwa chuo hicho msata wilaya Bagamoyo Mkoa wa Pwani.