Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MASHUSHUSHU NA KOCHA WA AL AHAL WATUA KUISOMA YANGA

$
0
0
 Waarabu hawa walifika uwanja wa taifa jana jioni kushuhudia mchezo kati ya yanga na komorozine ambapo yanga iliibuka na ushindi wa mabao 7-0. Watu hawa imeelezwa kuwa ni kocha wa Al ahal na mashushushu waliotumwa kusoma mchezo wa yanga kabla ya kukutana nao katika mchezo ujao wa kombe la klabu bingwa afrika.
Kocha huyo akiwa bize kusoma mchezo na kuandika kiarabu katika notebook yake wakati mchezo ukiendelea.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>