*TAARIFA YA MKUTANO KWA WANA WERUWERU
NOTICE IS HEREBY Given that a General Meeting of the foundation will be held at Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam on Saturday, 8th February, 2014 at 10.00hrs.Mkutano wa Weruweru Alumnae...
View Article*POLISI WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WAKULIMA WALIOFUNGA BARABARA...
Vijana wa Wakulima wakichoma matairi katikati ya barabara na kuzuia magari kutopita eneo hilo kwa muda wa masaa sita, jambo lililosababisha foleni kubwa ya magari na usumbufu kwa abiria, leo mchana....
View Article*MCHUNGAJI MSIGWA ALIPOACHIWA KWA DHAMANA, WAFUASI WAMTOSA MAHAKAMANI
WANANCHI WACHACHE LEO WALIFIKA KATIKA VIWANJA VYA MAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA KUSHUHUDIA MBUNGE MSIGWA AKIFIKISHWA MAHAKAMANI HAPO NA KALANDINGA LA POLISI HUKU ILE HAMASA KUBWA AMBAYO...
View Article*KAMISHNA WA SENSA ATOA SOMO KWA WADADISI NA WAHARIRI WA MADODOSO YA UTAFITI...
Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi Bi. Hajjat Amina Mrisho Said akizungumza na Wadadisi na Wahariri wa madodoso ya Utafiti wa watu wenye Uwezo wa Kufanya Kazi kutoka mikoa ya Dar es salaam, Pwani,...
View Article*CLIMB MT. KILIMANJARO FOR A CAUSE TO EMPOWER GIRLS WHO LIVE IN POVERTY
Millions of girls in Tanzania are dis-empowered by the simple biological process of menstruation. Affordable and hygienic sanitary protection is not available to girls in many areas especially rural...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI MPYA WA OMAN NCHINI TANZANIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi mpya wa Oman nchini Tanzania, Soud Ali Mohamed Al Ruqaishi, wakati alipofika ofisini kwake Ikulu...
View Article*MKUTANO MKUU WA TASWA WASOGEZWA MBELE, SASA KUFANYIKA MACHI 2 MWAKA HUU
UCHAGUZI Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), uliokuwa umepangwa kufanyika Februari 16 umesogezwa mbele kwa wiki mbili na sasa utafanyika Machi 2, mwaka huu jijini Dar es...
View Article*RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AZUNGUMZIA MAFANIKIO YA UONGOZI WAKE NDANI YA SIKU...
Rais wa shirikisho la Mpira wa miguu nchini TFF, Jamal Malinzi (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo kuhusu mafanikio ya uongozi wake ndani ya siku 100 tangu alipoingia...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA ‘FOUNDATION FOR BENEFACTOR...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimina na Joe Ricketts Kiongozi wa ‘Foundation for Benefactor Opportunity Education’, wakati walipofika Ofisini kwa...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA LORD MANDELSON IKULU DAR LEO
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Lord Mandelson Ikulu jijini Dar es Salaam leo.Lord Mandelson amewahi kushika nyadhifa za uwaziri katika serikali ya Uingereza chini ya Waziri Mkuu Tony...
View Article*WANAOANZA KUWAKIMBIZA WAKOMORO UWANJA WA TAIFA MUDA HUU
Kocha wa Makipa Juma Pondamali, akiwafua makipa Deogratius Munishi na Juma Kaseja, wakati wa kupasha misuri moto. Timu zote hivi sasa zinaingia uwanjani tayari kabisa kwa kukaguliwa kuanza mtanange...
View Article*YANGA INAONGOZA MABAO 2-0 UWANJA WA TAIFA DHIDI YA KOMOROZINE
Nahodha wa timu ya Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro', akijikunja kupiga mpira wa kichwa cha chini na kufunga bao la pili, baada ya mpira wa adhabu uliopigwa na David Luhende baada ya Mbuyu Twite,...
View Article*YANGA HATAREEEEE YAICHAPA KOMOROZINE MABAO 7-0 UWANJA WA TAIFA
Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, akiruka kupiga mpira wa kichwa na kufunga bao la kwanza katika dakika ya 13 kipindi cha kwanza. Katika mchezo huo wa Klabu Bingwa Barani Afrika kati ya Yanga...
View Article*NAIBU WAZIRI UMMY MWALIMU APOKEA MSAADA WA VITANDA VYA WAJAWAZITO KUTOKA KWA...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ummy Mwalimu, akipokea sehemu ya msaada wa vitanda vya wagonjwa kutoka kwa Meneja wa NMB Tawi la Madaraka, Juma Mpimbi. Wanaoshuhudia ni Meya wa Jiji la Tanga...
View Article*MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA MPYA YATANGAZWA WASOME HAPA
Wanahabari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Florence Turuka wakati akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii...
View Article*ORODHA YA WAJUMBE KAMATI ZA TFF
JUDICIAL ORGANS, INDEPENDENT & STANDING COMMITTEES TFFBOARD OF TRUSTEES; Said Hamad El-Maamry, Stephen Mashishanga, Dr Ramadhan Dau, Joel Bendera, Mohamed Abdul AzizKamati ya Nidhamu; Tarimba Abbas...
View Article*NAPE: KUWAZUIA WATU KUPIGA KURA NI KUHUJUMU DEMOKRASIA
Katibu wa NEC tikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa kata ya Nyasura wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani ambapo aliwaeleza wananchi haikuwa rahisi kuwaleta watanzania pamoja,hivyo basi...
View Article*MASHUSHUSHU NA KOCHA WA AL AHAL WATUA KUISOMA YANGA
Waarabu hawa walifika uwanja wa taifa jana jioni kushuhudia mchezo kati ya yanga na komorozine ambapo yanga iliibuka na ushindi wa mabao 7-0. Watu hawa imeelezwa kuwa ni kocha wa Al ahal na...
View Article*MGAMBO WAICHEZESHA KWATA SIMBA UWANJA WA MKWAKWANI YAVUNA 3 MUHIMU KWA BAO 1-0
Kikosi cha Simba. Timu ya Mgambo Shooting ya jijini Tanga, leo imewashangaza mashabiki lukuki wa soka waliofurika kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini humo kushuhudia mtanange dhidi yao na Simba kwa...
View Article