Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MTEMVU ANOGESHA MASHINDANO YA SERIKALI ZA MITAA TEMEKE

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Jamaica ya Mtaa wa Keko Molemo, Paulo Peter zawadi ya sh. 300,000 baada ya kuifunga timu ya DotmondMtaa wa Jamaica  ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT

MAFOTO PRODUCTION & ENTERTAINMENT KWA MAHITAJI YAKO YA STILL PICTURE, VIDEO SHOOTING, MUSIC & Mc's KATIKA SHEREHE YA AINA YEYOTE. KAZI NYINGINEZO:- VIDEO EDDITING, COVER DISGNING, PPS ZA DK 3,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MISS TANZANIA USA PAGEANT, JOY KALEMERA ATEMBELEA DARASA LA KISWAHILI DMV

Joy Kalemera (wapili toka kulia) akiwa College Park Maryland alipowatembelea darasa la kiswahili DMV siku ya Jumamosi Feb 8, 2014. Wengine katika picha ni waratibu wa Miss Tanzania USA akiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAI YATOA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI KILIMANI...

Baadhi ya wanafunzi wa shuleya awaliya Kilimani wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waliowatembelea kuwafundisha somo la usafi shuleni hapo kupitia miradi ya Mikono Ming’avu (MiMi) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*AROBAINI YA BI ZAINAB BUZOHERA DMV

Mume wa marehemu Dullah katika picha ya pamoja na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohera kwenye kisomo cha arobaini ya mpendwa wao Zainab iliyofanyika Jumapili feb 9, 2014 kwenye mgahawa wa Tabeer uliopo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI...

Picha juu na chini ni Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAYS OF LIGHT EXHIBITION IMPRINTS ITS FOOT ON THE LAND OF THE KILIMANJARO

Rt. Hon. Mizengo Peter Pinda, the Prime Minister of the United Republic of Tanzania (left) and Mr. Jehangir Bhaloo, President of the Aga Khan Council for Tanzania, officially cutting the ribbon at the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SEKRETARIETI YA BUNGE LA KATIBA KUKABIDHIWA UKUMBI BAADA YA KUKAMILIKA KWA...

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa na wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge, wakati walipofika kukagua ukumbi huo baada ya kukamilika kwa marekebisho ya ukumbi huo kuelekea Bunge la Katiba,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ABIRIA KIBAO NA MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU MUDA HUU...

 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda iliyokuwa ikirekebisha njia ili kuyawezesha magari kuendelea na safari zake kupita katika eneo hilo. Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la Hedaru,..........

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA EU, NA SHIRIKA LA GLOBAL VOLUNTEERS LA...

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe toka Umoja wa Ulaya (EU) kutoka kwa Mkurugenzi wa EU pembe ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika ambaye pia ni mjumbe maalumu wa EU kwenye nchi za ukanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATANO KANEMBWA JKT WAFUNGIWA MECHI TATU

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewafungia mechi tatu wachezaji watano kati ya tisa wa timu ya Kanembwa JKT waliolalamikiwa na Sekretarieti kwa kumpiga mwamuzi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KUWASILISHA MAJINA YA MABINGWA WA MIKOA MACHI 30

Vyama vya Mpira wa Miguu vya mikoa vimetakiwa kuwasilisha majina ya mabingwa wao kufikia Machi 30 mwaka huu kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL).Timu zote zitakazofuzu kucheza RCL zinaruhusiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KOCHA MSAIDIZI WA STARS MARSH ASUBIRI VIPIMO VYA MWISHO

Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Sylvester Marsh (Pichani kushoto) ambaye amelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) anasubiri vipimo vya mwisho ili aweze kuanza matibabu.Shirikisho la Mpira wa Miguu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIKOSI CHA TWIGA STARS KUAGWA FEB 12 KUELEKEA LUSAKA ZAMBIA

Timu ya Twiga Stars itaagwa rasmi Jumatano (Februari 12 mwaka huu) tayari kwa safari ya Lusaka, Zambia kwa ajili ya mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NJE KUHUSU WAFUNGWA WA KITANZANIA NCHINI CHINA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kukanusha taarifa za uvumi zinazosambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuwa kuna Watanzania wapatao 160...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA...

 Mkurugenzi wa Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo kuhusu Kongamano la  9  la CTO la mabadiliko ya mfumo wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PATRICK QORRO LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombelezo ya msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Karatu Waziri wa Kilimo na Ushirika Serikali ya awamu ya kwanza, Mhe. Patrick Qorro (72)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA...

*NAPE: CCM BADO NI KIPENZI CHA WATANZANIA WENGINAPE NNAUYEDAR ES SALAAM, TanzaniaCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo...

View Article

*ENJOY NA NIACHENI NIIMBE YA UPENDO NKONE

View Article

*WATANZANIA WAISHIO MAREKANI WAMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA UTEUZI WA WAJUMBE WA...

Tunapenda kuwaarifu wanajumuiya na watanzania wote kuwa kwa mara ya kwanza, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete amefanya uteuzi maalumu kwa kumchagua Bwana Kidari Singo...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>