Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*ABIRIA KIBAO NA MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU MUDA HUU KUTOKANA NA MVUA KUBWA KUZIBA NJIA

$
0
0
 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda iliyokuwa ikirekebisha njia ili kuyawezesha magari kuendelea na safari zake kupita katika eneo hilo.
 Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la Hedaru,.......
 Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana na kusababisha maji kuharibu barabara hiyo.
 Wakandarasi wakijadiliana jambo ili kuweza kupata ufumbuzi..
 Umati wa wasafiri wakiwa wanashangaa jinsi barabara hiyo ilivyozuiwa na maji hayo....yaliyokuwa yakipita kwa kasi kukatiza barabarani.
Hii ndio hali halisi Baadhi ya Marli yakiwa yamekwama katikati ya barabara
hiyo ambapo zaidi ya magari 3000 yamekwama katika eneo hilo la Hedaru hivi sasa baada ya barabara kufungwa na kuzibwa na maji mengi yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha.Wasafiri wamekwama eneo hilo kutokana na njia kutoonekana.


Kampuni ya ujenzi inayojenga barabara hiyo wanajitaidi kuchimba maeneo ya pembeni ili kuweza kuhamisha maji angalau njia iweze kuonekana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>