Kwa mara ya kwanza sasa mshindi wa shindano la 'USA Beauty Contest' kutua nchini kushiriki Fainali za shindano la Redd's Miss Tanzania 2014.
Washindi watakaoshika nafasi tatu za juu, kutoka kila Kanda watashiriki kwenye Fainali za shindano hilo litakalofanyika Washington Dc, ambapo Mkurugenzi na mwakilishi wa Miss Tanzania kutoka Kamati ya mashindano hayo Tanzania, watashuhudia fainali hizo na kukabidhi Taji kwa mshindi atakayeshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014.
Warembo wameshaurika kuwa na Nyaraka zote za kusafiria.
VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT
MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM