*MESSI AMZAWADIA KADI NYEKUNDU DEMICHELIS, MAN CITY IKIKUBALI KICHAPO CHA...
Beki wa Man City, Martin Demichelis, alipoigharimu timu yake kwa kuzawadiwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya Leo Messi.Martin Demichelis akipewa kadi nyekundu...... Akipokelewa nje ya uwanja na...
View Article*TAHADHARI YA MVUA KUBWA FEB 19-21/2014
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIASimu: 255 22 2460735/2460706FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAMTovuti:...
View Article*KWA MARA YA KWANZA SASA MSHINDI WA MISS TANZANIA 'BEAUTY CONTEST USA' KUTUA...
Kwa mara ya kwanza sasa mshindi wa shindano la 'USA Beauty Contest' kutua nchini kushiriki Fainali za shindano la Redd's Miss Tanzania 2014. Washindi watakaoshika nafasi tatu za juu, kutoka kila...
View Article*WADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJANA WAJASIRIAMALI...
Bw Jackson Audiface Akielezea Kuhusu Maonyesho hayo Yatakayofanyika Mkoani Dodoma wakati wajasiriamali hao walipotembelea Ofisi za Kampuni ya Aj It Development Kwa ajili ya kujisajili ili kushiriki...
View Article*KASEBA NA MASHALI WASAINI MKATABA WA KUZICHAPA MACHI 29 UKUMBI WA PTA
Mabondia Thomas Mashali (kushoto) na Japhet Kaseba wakitambulishwa na Promota wa pambano lao baada ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kucheza pambano lao la ubingwa wa Mabaara wa 'Universal Boxing...
View Article*BENKI YA BARCLAYS YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA KAMPENI ZA MAISHA BOMBA...
Ofisa wa Benki ya Barclays Tanzania, Valence Luteganya (katikati) kikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni moja kwa mmoja wa washindi wa droo ya pili ya promosheni ya ‘Double your Savings ’ ya benki...
View Article*WITO WA BALOZI ZISAIDIE KUUTANGAZA UTAMADUNI WA MTANZANIA
Msanii aliyetamba enzi hizo kwa umahili wake wa kuchea na nyoka Salma Moshi akisalimiana na kumkabidhi picha za baadhi ya kazi ya sanaa hiyo aliyofanya enzi hizo Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa...
View Article*WATAALAMU CHUO KIKUU WATOA RIPOTI YA UZIMAJI WA MITAMBO YA ANALOJIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIUZIMAJI MITAMBO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA AWAMU YA PILI1.0 UTANGULIZIMamlakaya Mawasiliano imepokea...
View Article*MATUKIO YA JIJINI DAR LEO BAADA YA RASHARASHA ZA MVUA
Gari aina ya Isuzu likiwa limeanguka kwenye mtaro pembezoni mwa barabara ya Makongo eneo la Lugalo, haikuweza kufahamika kwa haraka chanzo cha ajali hiyo, lakini kubwa ikiwa ni utelezi katika eneo...
View Article*MAMA ASHA BILAL AFUNGUA TAMASHA LA MWANAMKE NA AKIBA JIJINI DAR
Mgeni rasmi Mke wa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilali, akikata utepe kuzindua rasmi Tamasha la Mwanawake weka akiba,wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jijini Dar es...
View Article* KAZI NI KAZI ILIMRADI MKONO UENDE ............THE LADIES WAKALI WA...
Ujasiriamali ni jambo lililojema miongoni mwa jamii. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kukosa kazi za kufanya ili kuweza kujipatia kipato na kuacha kuwa tegemezi kwa wazazi au waume na hata wakati...
View Article*MAFUNZO YA TEHAMA KWA SIMU ZA MKONONI YASISITIZWA KUKUZA DEMOKRASIA VIJIJINI
Mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya Kilombero, Hassan Masala, akifungua mafunzo ya matumizi ya simu kwa habari katika ukumbi wa Mazingira Kibaoni, Ifakara 03 Februari 2014 yanayolenga kukuza taaluma ya...
View Article* HONEY KAUR MAIR AIBUKA MSHINDI WA SHINDANO LA VALENTINES DAY SPECIAL
Honey akiwa amepozi pembeni ya kikapu maalum cha wapendanao, kilichosheheni zawadi mbali mbali.**************************************************Na.Mwandishi wetuHoney Kaur Mair, ni msichana mwenye...
View Article*MAKAMU MWENYEKITI WA CCM BARA PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO...
Makamu wa ccm bara MH.Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika...
View Article*WARSHA YA KWANZA YA WADAU WA MFUKO WA MISITU TANZANIA INAYOFANYIKA MKOANI...
Bango linalo onesha warsha ya kwanza ya Wadau wa Mfuko wa Misitu Tanzania Wadau mbalimbali wa Misitu wakiwa katika warsha hiyo mjini Morogoro ****************************Mfuko wa Misitu Tanzania ni...
View Article*WATOTO MAPACHA WALIOTENGANISHWA NCHINI INDIA WAREJEA JIJINI DAR
Watoto mapacha kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya waliokuwa wamepelekwa na serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kufanyiwa upasuaji mkubwa wa kuwatenganisha wakiwasili nchini Tanzania...
View Article*UFAFANUZI KUHUSU HABARI ZILIZOCHAPISHWA KWA LENGO LA KUUPOTOSHA UMMA KUHUSU...
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mjema akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu habari za upotoshaji zilizoandikwa na gazeti moja la kila siku na baadhi ya...
View Article*SERIKALI YASEMA ITAENDELEA KUSIMAMIA AMANI BARA LA AFRIKA, YAPELEKA JESHI...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu masulala mbalimbali ya uhusiano wa kimataifa ikiwamo hatua zinazochukuliwa na...
View Article*RAIS A ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA WAZIRI WA BIASHARA ZA NJE WA UHOLANZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara za Nje wa Uholanzi Bibi Lilianne Ploumen, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wa...
View Article