Ofisa wa Benki ya Barclays Tanzania, Valence Luteganya (katikati) kikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni moja kwa mmoja wa washindi wa droo ya pili ya promosheni ya ‘Double your Savings ’ ya benki hiyo, Anthony Noah Mwakyombe , jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Maalumu wa Benki ya Barclays, Neema Rwehumbiza.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Maalumu wa Benki ya Barclays, Neema Rwehumbiza (katikati) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 10 mshindi wa zawadi kubwa ya kampeni ya “Maisha Bomba na Barclays Golden Briefcase” Bi. Moza Ally Mohamed huku Ofisa wa benki hiyo, Valence Luteganya akishuhudia jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Maalumu wa Benki ya Barclays, Neema Rwehumbiza (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni moja kwa mmoja wa washindi wa droo ya pili ya promosheni ya ‘Double your Savings ’ ya benki hiyo, Anarido Charles Kilinda, jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Ofisa wa benki hiyo, Valence Luteganya.
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Maalumu wa Benki ya Barclays, Neema Rwehumbiza (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni moja kwa mmoja wa washindi wa droo ya pili ya promosheni ya ‘Double your Savings ’ ya benki hiyo, Abdulkadir Issack, jijini Dar es Salaam leo. Katikati ni Ofisa wa benki hiyo, Valence Luteganya.