*PSPF YAWAPIGA MSASA WANAHABARI DAR, WENGI WAVUTIWA WAJIUNGA NA MFUKO
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akiaga baada ya kumalizika kwa semina aliyowaandalia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusu utendaji wa mfuko huo pamoja na...
View Article*BBC WILL RUN AN EXCLUSIVE INTERVIEW WITH HON DEWJI (MP) today at 1940 GM
Don’t miss an Exclusive Interview of BBC World TV with Hon; Mohammed Dewji (MP) on Friday this week, the Interview will be part of African Business Report a new weekly business TV show on BBC World...
View Article*FILAMU ZA SWAHILIWOOD ZAZINDULIWA RASMI USIKU WA JANA KATIKA UKUMBI WA...
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika usiku wa kipekee kushuhudia uzinduzi wa filamu za Swahiliwood wakimsikiliza Mkurugenzi wa Media For Development International (MFDI) – Tanzania Bw. John...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE WA NCHI WASHIRIKI WA...
Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki wakiimba wimbo maalumu wa Afrika Mashariki, kabla ya kuanza rasmi Mkutano wa Nne wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Ushirikiano wa Kanda ya Kaskazini, uliofanyika...
View Article*'TEAM ANAKONDA' LADY JAY DEE AANZA KUJIFUA KIKARATE ZAIDI WAPINZANI HAPANA...
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Lady Jay Dee', akiwa katika mazoezi ya mchezo wa Karate, ikiwa ni sehemu ya kujiweka fiti kiafya na kujihami na maadui.Hapana chezea Komando Bonti...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, TWIGA STARS, ZAMBIA SASA KUCHEZA FEB 28
Mechi ya pili ya raundi ya kwanza kuwania Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) kati ya Tanzania (Twiga Stars) na Zambia (Shepolopolo) sasa itachezwa Februari 28 mwaka huu Uwanja wa Azam Complex uliopo...
View Article*UCHAGUZI WA KAMATI YA UTENDAJI YA TASWA KUFANYIKA MACHI 3
Uchaguzi wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utafanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam.Fomu kwa ajili ya waombaji uongozi zinaanza kutolewa Jumatatu...
View Article*KIPITA SHOTO CHA MPANDA
Huu ndo mzunguko 'Round About' ya mjini Mpanda ambao katikati yake umetawaliwa na mabango ya matangazo badala ya maua ambayo yangeweza kubadili mandhali ya eneo hili.
View Article*RAMADHAN SINGANO 'MESSI' KUWAKOSA JKT RUVU JUMAPILI
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano 'Messi' (kushoto) akiwa katika moja ya mchezo wa timu yake.*************************************WASHAMBULIAJI wa Simba, Ramadhani Singano ‘Messi’ na Betram...
View Article*NANI KUSHIKA USUKANI WA LIGI KUU KESHO YANGA AU MBEYA CITY???
Na Reporter wa Sufiianimafoto, DarTIMU ya Mbeya City katika mchezo wa kesho wakifungwa na Coastal na Yanga wakiibuka na ushindi dhidi ya Ruvu Shooting leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara, watakuwa...
View Article*RAIS WA TFF JAMAL MALINZI AAHIDIWA USHIRIKIANO NA CAF
Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akimkabidhi zawadi Rais wa CAF, Issa Hayatou Makao Makuu ya CAF jijini Cairo, Misri.Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kushoto) akiwa na Rais wa CAF, Issa Hayatou na...
View Article*IN LOVING MEMORY OF OUR BELOVED MOTHER ESTHER NYIMBO BADI
No words can express the pain we felt when we lost you on Wednesday 22nd February 2012 at 6.30 p.m. Over the two years, precious memories of your beautifully life have been our only comfort.We remember...
View Article*KALAMA NYILAWILA ASAINI MKATABA KUSUBIRI MSHINDI KATI YA KASEBA NA MASHALI
Bondia Kalama Nyilawila (katikati) akisaini mkataba wa kucheza pambano kati ya Thomas Mashali au Japhet Kaseba, siku ya mei mosi kwa kutegemea na mshindi wa mechi ya Mashali na Kaseba itakayochezwa...
View Article*MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2013 YATANGAZWA
Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Charles Msonde akisoma matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2013 jijini Dar es Salaam.*********************************THE NATIONAL...
View Article*YANGA INAONGOZA MABAO 5-0 DHIDI YA RUVU SHOOTING, MPIRA NI KIPINDI CHA PILI
Heka heka langono mwa Ruvu Shooting, washambuliaji wa Yanga Simon Msuva na Mrisho Ngassa, wakiwania mpira na mabeki wa Ruvu Shooting, wakati wa mtanange huo unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa...
View Article*YANGA YAWAKOMOROZINE RUVU SHOOTING 7-0, YAREJEA KILELENI, MBEYA CITY...
Gooooo!!!!! bao la sita likifungwa na Hamis Kiiza katika dakika ya 68 baada ya krosi nzuri iliyopigwa na Simon Msuva kutoka winga ya kulia. Katika mchezo huo uliotawaliwa zaidi na Yanga karibu dakika...
View Article*AJALI YA LORI LA MAFUTA ILIYOUA WATU WANNE MLIMA SEKENKE
Eneo la tukio mlima sekenke.... Lori hilo likiwa limeteketea kwa moto baada ya kuanguka bondeni kutokana na kufeli breki.Raia wakishuhudia tukio hiloRoli hilo likiwa limeteketea kwa motoMmoja kati ya...
View Article*KUTOKA TAIFA DAR, JKT RUVU INAONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA SIMBA MPIRA NI...
Kiungo mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu, Emmanuel Swita, akimchambua Golikipa wa Simba, Yaw Berko, kwa mkwaju wa penati na kuandika bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaoendelea...
View Article*SIMBA YARUSHWA KICHURA NA JKT RUVU, YAKUBALI KICHAPO CHA MABAO 3-2 NYUMBANI,...
Beki wa JKT Ruvu, Damas Makwaya, akiruka Tik Tak kujaribu kuelekeza mashambulizi langoni mwa Simba, huku beki Joseph Owino, akifumba macho kukwepa mpira huo wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa...
View Article*MSIBA DMV NA TANZANIA
Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhani wakeSima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyoada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu...
View Article