Eneo la tukio mlima sekenke....
Lori hilo likiwa limeteketea kwa moto baada ya kuanguka bondeni kutokana na kufeli breki.
Raia wakishuhudia tukio hilo
Roli hilo likiwa limeteketea kwa moto
Mmoja kati ya watu wanne waliokuwa kwenye roli hilo akiwa ameteketea kwa moto.