Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*KUTOKA TAIFA DAR, JKT RUVU INAONGOZA MABAO 2-0 DHIDI YA SIMBA MPIRA NI KIPINDI CHA PILI

$
0
0
 Kiungo mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu, Emmanuel Swita, akimchambua Golikipa wa Simba, Yaw Berko, kwa mkwaju wa penati na kuandika bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa, huku JKT Ruvu ikiwa mbele kwa mabao 2-0.
 Wachezaji wa JKT Ruvu, wakishangilia bao lao la pili lililopatikana kwa mkwaju wa penati, huku mmoja wao akionyesha alama ya vidole sita kuashiria wanasawazisha mabao sita waliyofungwa na Tanzania Prisons, juzi jijini Mbeya.
Mpira wa adhabu ndogo langoni mwa JKT Ruvu.....

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>