Heka heka langono mwa Ruvu Shooting, washambuliaji wa Yanga Simon Msuva na Mrisho Ngassa, wakiwania mpira na mabeki wa Ruvu Shooting, wakati wa mtanange huo unaoendelea hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa. Yanga inaongoza kwa mabao 5-0, bao la kwanza na la tao, Didier Kavumbagu, la pili, Simon Msuva, la tatu, Emmanuel Okwi la nne Mrisho Ngassa.
Wachezaji wakishangilia na kumpongeza Mrisho Ngassa, baada ya kutupia bao la nne.
Emmanuel Okwi (kulia) akimtoka beki wa Ruvu, .....KWA MATUKIO KAMILI YA MCHEZO HUU KAA NASI BAADAYE