*RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA MISRI IKULU, DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es salaam. Mhe. Fahmy amefanya ziara...
View Article*BONANZA MAALUM LA KUMUENZI MAREHEMU OMARY CHANGA LAFANYIKA TABATA SHULE LEO
Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, TWIGA STARS YAENDELEA KUJINOA KUIKABILI ZAMBIA
Timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) inaendelea kujinoa kwa ajili ya mechi ya marudiano ya raundi ya kwanza ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Zambia (Shepolopolo) itakayochezwa Ijumaa...
View Article*NGUMI ZAHAMIA MBAGALA RANGI TATU
Bondia, Mussa Shuza (kushoto) akichapana na Dackson Kawiani, wakati wa pambano lao lililofanyika kwenye ukumbi wa Amenya Pub Mbagala Rangi Tatu. Kawiani alishinda kwa point. Mabondia Ibrahimu Ahmed...
View Article*TASWIRA KUTOKA MTWARA
Wakazi wa Mji wa Mtwara, wakiwa katika mnada wa kununua Samaki katika ufukwe wa Bahari ya Hindi kwa ajili ya nao kwenda kuuza reja reja kwa wateja wao kama walivyonaswa na kamera ya Sufianimafoto hivi...
View Article*MUGABE ASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 90 KWA KUMKUMBUKA HAYATI MWALIMU J.K NYERERE
Maelfu wa wananchi wa Zimbabwe walijitokeza kwenye uwanja wa Marondera kusherehekea siku ya kuzaliwa ya Rais wa nchi hiyo wakati akitimiza miaka 90, ambapo sherehe hiyo imegharimu kiasi cha dola...
View Article*PICHA YA LEO ASKARI HUYU ANAKAGUA NINI?????
Askari wa Usalama Barabarani, akikagua Pikipiki, haikuweza kufahamika alikuwa akikagua kitu gani kwenye Pikipiki hiyo kama alivyonaswa na Kamera ya Sufianimafoto, hivi karibuni mjini Mtwara.
View Article*WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA WAPONGEZWA MJINI DODOMA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Alio Iddi akitoa salamu katika Tafija Maalum ya kukaribishwa kwa wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM Mjini Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar...
View Article*FAMILY DAY BONANZA YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA)...
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Livingston Bagamoyo, iliyowashirikisha wafanyakazi na...
View Article*KUWAONA TWIGA STARS v/s ZAMBIA SHEPOLOPOLO NI BURE
Mashabiki wa mpira wa miguu nchini watashuhudia bure mechi ya timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya wanawake (Twiga Stars) dhidi ya Zambia (Shepolopolo).Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya kwanza ya...
View Article*YANGA, SIMBA ZAINGIZA SHI. MIL 100/- VPL
Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu...
View Article*FOMU ZA UCHAGUZI TASWA ZAANZA KUTOLEWA
Fomu za wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa Kamati mpya ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) utakaofanyika Machi 2, 2014 jijini Dar es Salaam zimeanza kutolewa leo...
View Article*WANAFUNZI WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WATEMBELEA TBL DAR
Msimamizi wa Gharama za Malighafi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emmanuel Sawe (wa pili kushoto), akitoa maelezo kuhusu mitambo ya kutengeneza bia wakati wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Utalii...
View Article*MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM DMV, BALOZI LIBERATA MULAMULA MGENI RASMI
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akiingia ukumbini siku ya Jumapili Feb. 23, 2014 kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka 37 ya CCM yaliyofanyika College Park, Maryland na...
View Article*AFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA JIJINI DAR
Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya...
View Article*VIONGOZI WAPYA WA IKULU SACCOS WAJITAMBULISHA KWA KATIBU MKUU KIONGOZI NA...
Na Freddy Maro. Ikulu.Uongozi Mpya wa ikulu SACCOS leo umejitambulisha rasmi kwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, ikulu jijini Dar es Salaam na kukabidhi ripoti ya utendaji ya SACCOS...
View Article*WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAUMBELE KWA WANAWAKE...
Mwenyekiti wa Tancraft, Elihaika Mrema akizungumza na waandishi wa habari umuhimu wa jumuiya kubwa za wafanyabiashara na pamoja na serikali kuwaunga mkono wajasirimali wanawake nchini, Kushoto ni...
View Article