Bondia, Mussa Shuza (kushoto) akichapana na Dackson Kawiani, wakati wa pambano lao lililofanyika kwenye ukumbi wa Amenya Pub Mbagala Rangi Tatu. Kawiani alishinda kwa point.
Mabondia Ibrahimu Ahmed (kushoto) na Mohamed Kashinde wakioneshana ubabe. Kashinde alishinda kwa point.
Bondia Hassani Kidebe (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa makonde na Shabani Mtengela. Mtengela alishinda kwa pointi. Picha na Super D