Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga, Ikulu Mjini Zanzibar baada ya mazungumzo yao leo alipofika kujitambulisha .Picha na Ramadhan Othman,Ikulu