Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Livingston Bagamoyo, iliyowashirikisha wafanyakazi na familia zao.
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngozi Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa Family Day iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba.
Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo siku hiyo ni maalumu kwa wafanyakazi na familia zao.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao katika Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi Kuku David Mapunda, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo.
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Morogoro,Pwani, Mtwara.Lindi,na Dar es Salaam. Wakiwa katika picha ya pamoja na familia zao wakati wa siku ya family Day iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston iliyop Wilayani Bagamoyo.