*WAZIRI NYALANDU ATEMA CHECHE, AWATIMUA KAZI VIONGOZI WA JUU IDARA YA...
Dar es Salaam, TanzaniaWaziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu leo ametangaza kuwang'oa viongogo wa ngazi ya juu katika Idara ya wanyamapori akieleza kuwa ni kutokana na kutoridhishwa na...
View Article*DIDIER DROGBA KUREJEA CHELSEA?????
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Ivory Coast, anayekipigi nchini Uturuki na Chama la Galatasaray, Didier Drogba, huenda akarejea Jiji la England kuitumikia timu yake ya zamani ya Chelsea, katika msimu wa...
View Article*TUNACHOJIDANGANYA KUHUSU MAKIPA WA YANGA KASEJA NA DIDA!!!!!!!
HISIA ZANGU NA: EDO KUMWEMBESAYANSI ya soka la Tanzania ni tofauti na sayansi ya soka lolote ulilowahi kusikia duniani. Kuna wakati unajaribu kujiuliza tunatumia sayansi gani katika soka la kisasa...
View Article*KIJIWE CHA UGHAIBUNI MAALUM KWA ERIC BAHUNDE
Kijiwe cha Ughaibuni kinamtakiwa mwenzao Eric Bahunde (shati la njano) afya njema na kumuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka Eric Bahunde amelazwa University of Maryland Medical Center kwa matibabu...
View Article*RASIMU YA KATIBA IMEWASAHAU VIJANA: MAKONDA
Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza, ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.Ni ajabu...
View Article*WARSHA YA KIMATAIFA KUHUSU MAENDELEO, MIUNDO MBINU NA VITUO VYA MAJI...
Naibu Waziri wa wizara ya maendeleo ya mifugo na uvuvi Kaika Saning’o Telele akifungua warsha ya kimataifa kuhusu maendeleo, miundo mbinu na vituo vya maji. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wizara ya maji...
View Article*DIDA AMUONDOA KASEJA TAIFA STARS, NI MIONGONI MWA 22 WALIOITWA KUIVAA NAMIBIA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi ya Namibia (Brave Warriors) itakayochezwa Machi 5 mwaka huu...
View Article*TAARIFA KWA KLABU ZOTE TANZANIA YATAKIWA TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zimewaagiza wanachama wake- vyama vya mpira wa miguu vya mikoa kuwapatia orodha ya klabu zote za mpira wa miguu zilizosajiliwa katika mikoa yao.Orodha hiyo...
View Article*MWILI WA MAREHEMU BALOZI KAZAURA WAWASILI NCHINI
Jeneza lililobeba mwili wa Balozi Kazaura likiwa tayari limetua kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es alaam, ukitokea nchini India alikofariki juzi.Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye...
View Article*MSIBA WA DADA YAKE LADY JAY DEE
Mama mzazi wa akisaidiwa na waombolezaji wakat a kuuwaga mwili wa mwanawe, Dada wa Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dady Jay Dee, Lucy Mbibo, aliyefariki juzi.Msanii Lady Jay Dee, wa pili (kushoto)...
View Article*HARAKATI ZA BUNGE LA KATIBA: WANAWAKE NA RASIMU YA KATIBA MPYA
Profesa Ruth Meena akizungumzia jinsi mwanamke alivyopewa kipaumbele katika rasimu hii na ameelezea kundi gani limezungumziwa na kuongezwa kwenye rasimu hii ambayo imesahau makundi kama watoto wa kike,...
View Article*MABALOZI WAJITAMBULISHA KWA RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Zambia nchini Tanzania Bi, Judith Kangoma Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha...
View Article*LAKE GAS INDIAN FOOD FESTIVAL
Food is an integral part of the Indian culture and Indian subcontinent. Thanks to the multitude of its flavors and aroma, its popularity is quickly increasing, and with it the number of new Indian...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, ATEMBELEA MRADI WA MAJIKO SANIFU NA KUZURU KABURI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof....
View Article*MTEMVU AKABIDHI MIKOPO YA MAGARI, BAJAJI, PIKIPIKI NA FEDHA TASLIMU KWA...
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akimkabidhi ufunguo wa gari aina ya Noah katibu Mkuu wa Saccos ya Tujikwamue ya Chang'ombe, Dar es Salaam, Itika Mwankenja katika hafla ya Taasisi ya PFT ya...
View Article*KONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI MIKOA YA LINDI NA MTWARA LAFANYIKA
Mwenyekiti wa maandalizi ya Kongamano la Viongozi wa Dini mikoa ya Lindi na Mtwara MohamedSenani akiwakaribisha wajumbe katika kongamano la viongozi hao katika ukumbi wa VETA mjini Mtwara. Kongamano...
View Article*BALOZI SEIF AKUTANA NA MKURUGENZI WA EUROPEAN ERUN NA MFUKO WA HIFADHI YA...
Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wa Pili kutoka...
View Article*SYMBION KUSAIDIA PROGRAMU ZA VIJANA TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Symbion Power Tanzania Limited zimesaini makubaliano ambapo kampuni hiyo itasaidia kwenye maeneo matatu ya mpira wa miguu wa vijana.Makubaliano hayo...
View Article*TIMU YA ZAMBIA SHEPOLOPPOLO WATUA NCHINI KUIKABILI TWIGA STARS KESHOKUTWA
Timu ya Taifa ya Zambia (Shepolopolo) inatua nchini kesho mchana (Februari 27 mwaka huu) kwa ajili ya mechi ya marudiano ya michuano ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Tanzania (Twiga Stars)...
View Article*MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA TATU WA WADAU WA PSPF LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akisoma risala kwa mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere,leo jijini Dar es Salam. Kaimu Mwenyekiti...
View Article