Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Zambia nchini Tanzania Bi, Judith Kangoma Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana mchana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Soud Ali Mohamed aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa Rais jana mchana. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.