Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MATUKIO MBALIMBALI YA MKUTANO WA TATU WA WADAU WA PSPF LEO JIJINI DAR ES SALAAM

$
0
0
 Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima akisoma risala kwa mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere,leo jijini Dar es Salam.
  Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Peter Ilomo akisoma risala kwa mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa PSPF uliofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere,leo jijini Dar es Salam.
 Mgeni Rasmi wa Mkutano wa wadau wa PSPF Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akifungua huduma kwa wateja ya Mfuko wa PSPF ambayo utakuwa ukiwasaidia  wadau wa mfuko huo kupata huduma mbalimbali kuepukana na usumbufu wa kufuatilia mafao badala yake watakuwa wakitumia simu.

 Mgeni Rasmi wa Mkutano wa wadau wa PSPF Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,akimpa mkono wa pongezi mdau wa Habari John Bukuku kwa kujiunga na Mfuko wa PSPF leo jijini Dar es Salaam.
 Kikundi cha Tanzania House of Talent pamoja na Bendi ya Mrisho Mpoto wakitoa burudani wakati wa mkutano wa wadau wa PSPF ,katika viwanja vya Mwl.Nyerere  leo jijini Dar es Salaam.
 Kikundi cha Tanzania House of Talent pamoja na Bendi ya Mrisho Mpoto wakitoa burudani wakati wa mkutano wa wadau wa PSPF ,katika viwanja vya Mwl.Nyerere  leo jijini Dar es Salaam.
 Mgeni  Rasmi Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akifurahia ujumbe uliokuwa ukitolewa na wasanii wa Tanzania House of Talent(THT),kulia ni  Naibu waziri wa Fedha Adama Malima,Kaimu Mwenyekiti wa bodi ya PSPF Peter Ilomo na kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje John Haule,katika ukumbi wa mikutano wa Mwl. Nyerere.
 Msanii maarufu wa Muziki Mrisho Mpoto almaarufu Mjomba akitoa burudani kwa wadau wa Mkutano wa PSPF  uliofanyika katika ukumbi wa Mwl.Nyerere leo jijini Dar es Salaam.
Wadau wa mkutano PSPF wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokuwa yakiendelea   wakati wa mkutano huo  leo  jijini Dar es salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>