$ 0 0 Huu ndo mzunguko 'Round About' ya mjini Mpanda ambao katikati yake umetawaliwa na mabango ya matangazo badala ya maua ambayo yangeweza kubadili mandhali ya eneo hili.