Msanii wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura 'Lady Jay Dee', akiwa katika mazoezi ya mchezo wa Karate, ikiwa ni sehemu ya kujiweka fiti kiafya na kujihami na maadui.
Hapana chezea Komando Bonti Machozi........utakaa mwenyeeeeeeeewe kwa mawash.....