Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten, Salum Mkambala, amepata ajali mbaya usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalenze alikuwa anatokea chalinze kuja jijini Dar na imeelezwa kuwa hali yake bado si nzuri kwa mujibu wa mtoa taarifa. Hadi sasa yupo amelazwa tumbi hospilal kibaha. Tuendelee kupeana taarifa kadri hali inavyo endelea tumuombee mungu ampe nafuu ya haraka mwenzetu. Inshaallah
↧