*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MEYA WA JIMBO LA CALIFONIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Meya wa Jimbo la Califonia nchini Marekani Mstahiki Osby Davis,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na...
View Article*KILA LA KHERI YANGA MECHI YA LIGI YA MABINGWA, TIKETI ZAANZA KUUZWA JIJINI DAR
Baadhi ya mashabiki wa soka wakinunua tiketi katika moja ya magari yanayouza tiketi za kushuhudia mtanange wa kesho baina ya Yanga na Al-Ahly utakaopigwa uwanja wa Taifa.Shirikisho la Mpira wa Miguu...
View Article*MAREKEBISHO YA MECHI ZA LIGI KUU, FDL
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho madogo ya ratiba kwa mechi mbili za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) na moja ya Ligi Daraja la Kwanza (VPL).Mechi namba 143 kati ya Tanzania Prisons na...
View Article*RAIS KIKWETE AKUTANA NA MEYA WA MJI WA VALLEJO WA MAREKANI, IKULU DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Meya wa Mji wa Vallejo nchini Marekani Mstahiki Osby Davis alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo. Meya Davis yuko nchini na ujumbe wa...
View Article*MALINZI AUNDA KAMATI YA MIAKA 50 FIFA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ameunda kamati ya watu tisa kuratibu maadhimisho ya miaka 50 tangu TFF ilipojiunga na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu...
View Article*MTOTO ADOLOTEA AOMBA MSAADA ILI AWEZE KUFANYIWA UPASUAJI WA KUTENGANISHA...
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi.Mama Mkubwa wa Mtoto huyo, Salome Kiegu(35) mkazi wa Mtaa wa Maendeleo Iyunga...
View Article*SIKINDE KUIBUKA NA ALBAM MPYA YA JINAMIZI LA TALAKA 2014
Baada ya kimya kingi hatimaye bendi kongwe nchini iliyopata kutamba na kuwa bingwa katika mchuano na wapinzani wake wakubwa Msondo na kuibuka na ushindi na kuwa mabingwa wa muziki nchini mara mbili...
View Article*KINACHOENDELEA KUTOKA UWANJA WA TAIFA, MECHI BADO MASHABIKI WA SIMBA WARUDIA...
VURUGU UWANJANI, Mashabiki wa Simba waking'oa viti na kuwarushia mashabiki wa Yanga, kabla ya mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Yanga na Al-Ahly unaotarajia kuanza muda mchache ujao. Vurugu hizo...
View Article*KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA KUWAKIMBIZA WAARABU
KIKOSI CHA KWANZA YANGA:- Deogratias Munishi, Nadir Haroub 'Canavaro', Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Kelvin Yondani, Frank Domayo, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Emmanuel Okwi, Mrisho Ngassa na Hamis...
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA BADO HAKUNA MBABE SASA NI KIPINDI CHA PILI
Mtanange ukiendelea uwanja wa Taifa, huku timu zote zikikosa kosa, hapa ni katika harakati za Yanga kukosa bao na Al Ahly kuokoa, mpaka sasa hakuna time yeyote iliyokwisha liona lango la mwenzake bado...
View Article*YANGA YAWADUWAZA WAARABU 1-0
Timu ya Yanga leo imewashangaza waarabu wa Misri timu ya Al Ahly kwa kuwabanjua bao 1-0, lililofungwa Nahodha wa timu hiyo Nadir Haroub kwa kichwa katika kipindi cha pili. Matukio kamili ya picha...
View Article*FULL MKANDA YANGA ILIVYOWADUWAZA WAARABU WA AL-AHLY YA MISRI
Wachezaji wa Yanga wakimpongeza Nahodha wao Nadir Haroub 'Canavaro', baada ya kuifungia timu yake bao pekee katika mchezo wa leo dhidi yao na Al-Ahly ya Misri uliomalizika jioni hii kwenye uwanja wa...
View Article*RADIO UHURU WALIVYO UAGA MWAKA 2013 KWA RAHA ZAO
Usiku wa kuamkia leo, wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi waliamua kujiachia kivyao vyao katika Bonge la tafrija la kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka mpya. Tafrija hiyo iliyoongozwa na...
View Article*DESPITE POACHING TANZANIA'S TOURISM SECTOR GENERATES NEARLY 4 BILLION US
Embassy of the Federal Republic of Germany in Dar, Charge d’Affaires, Mr Hans Koeppel speaks to Hyatt Regency the Kilimanjaro Hotel, General Manager, Trevor Saldanha during the cocktail party organized...
View Article*BREAKING NEEEEEEWZZZ!III SALUM MKAMBALA APATA AJALI MBAYA
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa mwandishi wa habari wa Chanel Ten, Salum Mkambala, amepata ajali mbaya usiku wa kuamkia leo maeneo ya Chalenze alikuwa anatokea chalinze kuja jijini Dar na...
View Article*UCHAGUZI MKUU WA TASWA WAFANYIKA DAR LEO, JUMA PINTO KUENDELEA KUONGOZA TASWA
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi Tanzania Taswa, Juma Pinto, akijieleza mbele ya wajumbe na wanachama wa Taswa wakati akiomba kura kurejea kukiongoza chama hicho kwa muhura wa pili. Uchaguzi Mkuu wa...
View ArticleSIMBA YAZINDUKIA KWA RUVU SHOOTING NA USHINDI 'FINYU' WA MABAO 3-2
Mshambuliaji wa timu ya Simba Ramadhan Singano (kulia) akiwania mpira na kipa wa Ruvu Shooting, Abdallah Rashid, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MSIKITI KIBOJE UWANDANI ZANZIBAR LEO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Alhajj Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha kiboje uwandani alipowasili katika kijiji hicho leo Februari 2-2014...
View Article*CCM YAZIDI KUTESA KAMPENI ZA UBUNGE KALENGA
Mgombea ubunge Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa (32), akiwapungia wananchi huku akiwa amebebwa alipowasili kwenye mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Mangalali, Kata ya Ulanda, Iringa...
View ArticleKAMERA YA SUFIANIMAFOTO MITAANI
Jamaa ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akipata kifungua kinywa Supu na chai kwa Mama Ntilie pembezoni mwa Barabara eneo la Msamvu mjini Morogoro kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto...
View Article