$ 0 0 Timu ya Yanga leo imewashangaza waarabu wa Misri timu ya Al Ahly kwa kuwabanjua bao 1-0, lililofungwa Nahodha wa timu hiyo Nadir Haroub kwa kichwa katika kipindi cha pili. Matukio kamili ya picha yatakujia baadaye.