Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wamebeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60.
Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wameubeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi.
Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan, enzi za uhai wake.
Maafisa wa vikosi mbali mbali vua Ulinzi vya zanzibar wakiusubiri mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan ukitokea katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam baada ya kufariki jana.
Baadhi ya wananchi na wanafamilia wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan wakiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,kuupokea mwili wa Marehemu huyo aliyefariki katika Hospitali ya Jeshi Lugalo Jijini Dar es Salaam.
Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo Wilaya magharibi Unguja.
Ndugu na Jamaa wa Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,wakilia kwa uchungu baada ya kufika mwili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,tayari kwa mazishi yake yatakayofanyika leo kwa heshima zote za Kijeshi katika makaburi ya Tomondo Wilaya magharibi Unguja. Picha na Ramadhan Othman-Ikulu ZNZ