*MAMA ASHA BILAL ASHEREHESHA HAFLA YA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE, NDANI YA...
HAFLA YA KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE,NDANI YA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DARMke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Asha Bilal akiambatana na Mwenyeji wake,Shamim Mwasha...
View Article*SHEREHE YA KUADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI ILIVYOBAMBA KATIKA UWANJA...
Wafanyakazi wanawake kutoka ofisi mbalimbali wakiwa wamejipanga kwaajili ya kuanza maandamano hapo jana yaliyoanzia katika shule ya msingini mabatini iliyopo Wilaya ya Temeke na kuishia katika uwanja...
View Article*TAIFA STARS SASA KUTUMIA JEZI ZA ADIDAS
NA: Boniface Wambura MgoyoShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilifikia makubaliano na kampuni ya Adidas kupitia msaada wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kupatiwa vifaa vya...
View Article*RAIS KIKWETE AMJULIA HALI BI. MARGARETH CHAMBILI ALIYELAZWA HOSPITALI YA...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijulia hali Ofisa wa Habari tume ya Uchaguzi Bi.Margareth Chambiri aliyelazwa katika Tasisi ya MOI Hospitali ya Taifa Muhimbili.Bi.Chambiri aliwahi kufanya kazi katika...
View Article*TANZANIA YAENDELEA KUWA KINARA WA UWATAWALA BORA
Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Tanzania Rehema Twalib (wa kwanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijijni Dar es salaam ambapo Tanzania inaungana na...
View Article*MAZIKO YA MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI
Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wamebeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu...
View Article*WANANCHI OGOPENI UTAPELI HUU KUHUSU MIKOPO MTAIBIWA KWEUPEEEEE
Na Josephat Lukaza wa Lukaza Nimelazimika Kuandika Ujumbe huu kwaajili ya kuutarifu umma wa watanzania mara baada ya kupokea Ujumbe mfupi wa Sms kutoka Kwa rafiki yangu Mroki Mroki juu ya Kuingiliwa...
View Article*NIYONZIMA KUWAKOSA WAARABU WA AL-AHLY LEO AONDOLEWA KIKOSINI
Niyonzima akiwa na wachezaji wenzake jana usikuNa Saleh Ally, AlexandriaKiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda ni mgonjwa, malaria kali imemshika, hali iliyolazimika Kocha Hans van Der...
View Article*MECHI YA LEO KATI YA WENYEJI AL-AHLY v/s YANGA NI NGUMU LAKINI LOLOTE...
Na saleh Ally, AlexandriaMECHI ya leo kati ya wenyeji dhidi ya Al Ahly ni ngumu na matokeo yote matatu yanaweza kupatikana katika mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya kuwania kucheza 16...
View Article*SAID BAHANUZI AWAPA ULAJI AL-AHLY AIONDOSHA YANGA MASHINDANONI KWA KUKOSA...
Penati pekee iliyotoka nje ya milingoti mitatu iliyopigwa na Said Bahanuzi, iliwawezesha Al-Ahly kuendelea na mtindo wa penati moja moja baada ya wao kukosa penati mbili zilizochezwa na kipa wa yanga,...
View Article*KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KALENGA LEO JUMAPILI
Wananchi wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo jimbo la kalenga, Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke, leo. Picha zote na Bashir...
View Article*BALOZI MULAMULA AWAPONGEZA 'TANO LADIES' KATIKA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Na Abou Shatry Washington DC Katika sherehe ya kuadhimisha Siku ya kimataifa ya wanawake duniani, Mgeni rasmi Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula amewapongeza Tano Ladies kwa...
View Article*AL-AHLY WALIVYOPONEA KWENYE TUNDU LA SINDANO KUITOA YANGA KWA PENATI 4-3
Mchezo wa raundi ya pili wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya wenyeji Al Ahly imemalizika usiku huu, huku Mabingwa hao wa Afrika wakitokea kwenye tundu la sindano baada ya kupata ushindi wa...
View Article*SASA MASHABIKI WA SOKA WANAOFANYA FUJO, UHARIBIFU VIWANJANI KUKIONA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tunalaani vikali fujo na uhabirifu wa mali unaofanywa na washabiki viwanjani wakati mechi mbalimbali zikiwemo zile za kimataifa na ligi za hapa...
View Article*MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu...
View Article*SHINA LA CCM MARYLAND LAFUNGULIWA, MRISHO MZESE MWENYEKITI, MARCO MBULLU KATIBU
Mwenyekiti wa shina la CCM Maryland, Mrisho Mzese (tatu toka kushoto) akimkaribisha Mwenyekiti CCM DMV George Sebo (pili toka kushoto) kwenye ufunguzi wa shina hilo uliofanywa na mwenyekiti huyo wa...
View Article*BADO KUNA TATIZO LA UPUNGUVU WA MAJAJI- JAJI RUTAKANGWA
Mgeni rasmi Jaji wa Mahakama ya Rufani, Edward Rutakangwa (katikati) akiwasili kufungua rasmi mafunzo ya siku nne juu ya sheria za kimataifa za kazi kwa majaji na wasajili wa mahakama nchini...
View Article*ERICA LULAKWA AACHIA SONG LA KUWASIFU WANANWAKE 'HONGERA WANAWAKE'
Muimbaji Erica Lulakwa na wimbo wa Hongera Wanawake aliyoimba kwenye sherehe za Kilele cha maadhimisho ya mwanamke Duniani, iliyoandaliwa na kundi zima la Tano Ladies siku ya Jumamosi March 8, 2014...
View Article*HOYCE TEMU AMONG TOP MISA'S WOMEN TO WATCH 2014
Hoyce Temu a communication specialist at the United Nations in Tanzania has been selected as one of the inspirational southern African women and a rising star in the region.Temu has been involved in...
View Article*WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU WAPITISHA KANUNI ZA KUENDESHA KIKAO CHA BUNGE LA...
Samuel Sitta (kulia) akipokea fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa kudumu wa Bunge maalumu la Katiba mpya baada ya kutangazwa rasmi kwa wagombea wa nafasi hiyo kuruhusiwa kuchukua fomu wakati wa...
View Article