Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RASMI RIDHIWAN KIKWETE KUPEPERUSHA BENDERA ZA CCM KUWANIA UBUNGE JIMBO LA...

DODOMA,TanzaniaKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAARIFA YA MSIBA NEW YORK NA TANZANIA

Mtanzania mwenzetu Mama Lulu John Maro Mwaluko amefariki dunia asubuhi ya siku ya Ijumaa tarehe 7 Machi 2014. Mama Mwaluko alikuwa akikaa Queens, New York na alishawahi kuwa mwalimu na alifundisha high...

View Article


*KIJIWE CHA UGHAIBUNI NA WADAU KUTOKA NEW YORK

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAZAZI MKOANI RUVUMA WATAKIWA KUTOWAFICHA WATOTO VIZIWI

Grevas Komba na Bahati Nyoni ambaye ni Katibu wa Viziwi mkoa wa Ruvuma wakisoma risala ya viziwi kwa mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa RuvumaMkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu akiongea wakati alipofungua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATANZANIA WAHIMIZWA KUSOMA MAJARIDA MBALIMBALI ILI KUJIONGEZEA UFAHAMU

 Cosmas Njingo-afisa habari na mawasiliano wa Halmashauri ya Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro akichangia mada.  Zadock Kitomary-Mkulima bora mara mbili mfululizo katika Halmashauri ya Wilaya ya Meru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*22 KUSHIRIKI SEMINA YA WAAMUZI DAR

Waamuzi na waamuzi wasaidizi 22 wameteuliwa kushiriki semina na mtihani wa utimamu wa mwili kwa robo ya kwanza ya mwaka huu itakayofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia Machi 14 hadi 16.Semina hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA SASA KUMALIZIKA APRILI 19 BADALA RA APRIL...

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeifanyia marekebisho ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) ambapo sasa itamalizika Aprili 19 mwaka huu badala ya Aprili 27 mwaka huu.Marekebisho hayo yamefanyika ili...

View Article

*MTIHANI WA MAWAKALA WA WACHEZAJI KUFANYIKA APRILI 3 MWAKA HUU

Mtihani kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa mawakala wa wachezaji wanaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Aprili 3 mwaka huu saa 4 kamili asubuhi ofisi za Shirikisho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TASWA FC, TASWA QUEENS KUPIMANA NGUVU NA CHUO CHA DACICO KESHO

TIMU ya soka na netiboli ya waandishi wa habari za michezo nchini, Taswa FC na Taswa Queens kesho zitacheza mechi maalum za kirafiki dhidi ya Chuo Cha Uandishi wa Habari, Mawasiliano ya Umma na Utawala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WALIOKWAMISHA UJENZI WA MIUNDOMBINU MLOGANZILA WAKUTANA NA MKUU WA MKOA DAR...

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Saidi Meki Sadiki (katikati) akizungumza jambo wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili(MUHAS)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MANGULA ATOA SOMO KWA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CCM JIMBO LA KALENGA

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akionyesha mfano wa karatasi la kupiga kura kwa wanachama wa CCM wanaoishi kwenye kitongoji cha Ulete,Kijiji cha Muwimbi mkoani Iringa . Mgombea wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MBIO ZA KUWANIA UENYEKITI WA KUDUMU BUNGE LA KATIBA, WAWILI WAENGULIWA SITTA...

WAKATI uchaguzi wa Mwenyekiti wa kudumu wa Bunge Maalumu la Katiba ukitarajiwa kufanyika leo jioni mjini Dodoma, tayari wagombea wawili waliojitokeza kuchukua fomu ya kutaka kuwania nafasi hiyo,...

View Article

*"CHOCHEA MABADILIKO KULETA USAWA WA KIJINSIA''

Katika kusherehekea Siku ya Wanawake Dunia tarehe 8 Machi mwaka huu, kipindi pekee maalum cha Wanawake Tanzania Wanawake Live kilipata nafasi ya kuhudhuria kilele cha maadhimisho hayo katika mikoa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KIKAO CHA KWANZA CHA TASWA MPYA BAADA YA UCHAGUZI

 KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) ilifanya kikao chake cha kwanza chini ya uenyekiti wa Juma Pinto juzi Jumatatu Machi 10, 2010 jijini Dar es Salaam na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SERIKALI YAJIPANGA KUWA NA SERA YA FILAMU

 Mtendaji Mkuu Bodi ya Filamu Bi. Joyce Fisoo akiwasilisha Rasimu ya awali ya Sera ya Filamu wakati wa moja ya kikao cha wadau cha kujadili rasimu ya awali ya Sera ya Filamu kilichofanyika hivi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CHADEMA WASHINDWA KUONYESHA SHERIA INAYOWARUHUSU KULINDA KURA VITUONI ZAIDI...

Na Bashir Nkoromo, Iringa WAWAKILISHI wa Chadema wakiongozwa na Mratibu wa Kampeni za chama hicho katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Benson Kigaiya leo wameumbuka baada ya kushindwa kuonyesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WAENDESHA BODABODA, BAJAJI NA WAFANYABIASHARA MAENEO YASIYORUHUSIWA...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Saidi Mecki Sadiki akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kutoa agizo kwa viongozi na watendaji wa jiji la Dar es salaam kuhakikisha kuwa wanawaondoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SITTA AIBUKA KIDEDEA KWA KURA 487 KATIKA UCHAGUZI WA MWENYEKITI WA KUDUMU...

 Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na aliyekuwa Mgombe katika nafasi ya Uenyekiti Bw. Samwel Sitta akinadi Sera zake kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kabla ya zoezi la Upigaji kura kwa nafasi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO....

Mzazi ukiridhika na mienendo ya mwanao mbele ya macho ya watu, basi ujue ndivyo upendavyo na ni staili ya maisha uliyomchagulia mwanao kuishi leo na kesho. Mtoto huyu anayekadiriwa kuwa na umri wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*WATANZANIA WASHAURIWA KUWEKEZA NA DHAMANA YA UWEKEZAJI TANZANIA

Mkurugenzi wa Masoko Na Mahusiano Kutoka  Dhamana ya Uwekezaji  Tanzania Bwana Daudi Mbaga Akitoa Mada Kuhusu Kuwekeza kwenye Mifuko Iliyo chini ya Dhamana ya Uwekezaji Tanzania Kwajili ya Maisha Mara...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>