Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*NIYONZIMA KUWAKOSA WAARABU WA AL-AHLY LEO AONDOLEWA KIKOSINI

$
0
0
Niyonzima akiwa na wachezaji wenzake jana usiku
Na Saleh Ally, Alexandria
Kiungo nyota wa Yanga, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda ni mgonjwa, malaria kali imemshika, hali iliyolazimika Kocha Hans van Der Pluijm amuondoe kwenye kikosi cha leo kitakachoanza dhidi ya Al Ahly.
Niyonzima (kulia) akiwa na Okwi na Msuva wakati wa mazoezi ya mwisho ya Yanga jana usiku. 
Haijajulikana kama Pluijm anaweza kumuweka aanzie benchi lakini taarifa zinasema Didier Kavumbagu anaingia kuanza katika nafasi yake na kocha atajua namna ya kuwapanga, huenda Mrisho Ngassa akacheza namba nane au vinginevyo.
Lakini jana usiku, Niyonzima alikuwa kati ya wachezaji waliofanya mazoezi na wenzake kwenye Uwanja wa Max jijini hapa, lakini leo akaamua malaria ikiwa imemkamata.Kwa hisani ya SalehJembe

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles