Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA NETHERLAND ALIYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI

$
0
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania, Mhe. Ad Koekkoek, aliyemaliza muda wake nchini, wakati alipofika kumuaga Makamu Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles