*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MABUNGE WA KUJADILI SERA ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mkurugenzi wa Baraza la Dunia ya baadaye wa Dunia, 'World Future Council' Alexandra Wandel, wakati...
View Article*TANZANIA YAFANYA VIZURI KATIKA NYANJA YA UWEKEZAJI - RIPOTI YA UWEKEZAJI YA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) Juliet Kairuki akizungumza na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi rasmi wa Ripoti ya Uwekezaji ya Dunia ya Mwaka 2013 ambayo imejikita kiundani...
View Article*MASANJA, SHILOLE WAENDELEA KULA BATA KWA OBAMA, WATEMBELE NEW YORK CITY.
Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa wa moto "Hot Dog" wakati alipokua New York City akisubili boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani)...
View Article* YALIYOJILI UKAGUZI WA MADUKA YA DAWA MUHIMU MKOANI RUVUMA
Naibu Msajili baraza la famasi nchini Leah Chenya akifanya ukaguzi katika duka la dawaNaibu msajili baraza la famasi nchini Leah Chenya akiwa ameshika moja ya kidhibiti alichokuta katika duka la...
View Article*KIKOSI CHA UGANDA THE CRANES KUTUA DAR KESHO KUIKABIRI STARS JUMAMOSI TAIFA
Kikosi cha Uganda The Cranes.Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) inatarajiwa kuwasili nchini kesho (Julai 11 mwaka huu) tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa...
View Article*TASWIRA YA ZIARA YA WAZIRI WA UJENZI DKT, JOHN MAGUFULI, UKAKAGUZI WA MIRADI...
Muoenekano wa ujenzi wa mradi wa daraja la Kigamboni katika awamu ya kwanza ukiwa umekamilika kwa asilimia 47, katika mradi huo. Ujenzi huo utagharimu jumla ya Sh. Bilioni 214,kati ya fedha hizo...
View Article*CAF YABADILI MWAMUZI WA KUWACHEZESHA STARS v/s UGANDA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya mwamuzi wa mechi ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi ya Ndani (CHAN) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na...
View Article*RAIS WA ZANZIBA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA KOREA KUSINI
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Watu wa Korea Kusini, Kang Chang Hee, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo...
View Article*SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, akikagua gwaride wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo zilizofanyika kwenye Uwanja...
View Article*TAARIFA YA MSIBA WA MUME WA LEAH SAMIKE
TAARIFA YA MSIBAMpigapicha na Mhazini wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT) LEAH SAMIKE anawatangazia kifo cha mumewe Bwana. HUMPHREY GEORGE LUPENZA, kilichotokea leo Saa 10:55 alfajiri...
View Article*BALOZI WA UHOLANZI ANAYEMALIZA MUDA WAKE NCHINI MHE. DKT. AD KOEKKOEK AAGANA...
Balozi wa Uholanzi anaemaliza mda wake hapa nchini Mhe. Dk Ad Koekkoek akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika kumuaga Ofisini kwake leo. Mhe. Balozi akifurahia jambo na...
View Article*MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA MWANZA NA WA MANISPAA YA ILALA WALA FUTARI YA...
Mstahiki meya wa Jiji la Mwanza Mh.Stanslaus Mabula pamoja na Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Mh.Jerry Silaa wakipata futari jioni ya jana pamoja na wajumbe wa kamati ya kudumu ya...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA DKT. JUDITH KAHAMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini kwenye Kitabu cha maombolezo ya Msiba wa marehemu Dkt, Judith Kahama, wakati alipofika kuhani msiba huo nyumbani...
View Article*RAIS KIKWETE AWAAPISHA, MWENYEKITI NA WAJUMBE WA2 WA BARAZA LA MAADILI,...
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Bw. Hamis Amir Msumi, kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili, wakati wa hafla fupi ya kuwaapisha Mwenyekiti huyo na Wajumbe wawili, wa Baraza hilo, iliyofanyika Ikulu...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, UGANDA CRANES YAWASILI KUIKABILI STARS
Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam leo tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi ya Ndani (CHAN) kati yake na Tanzania...
View Article*KLABU YA AFRICAN LYON YAPATA HASARA YA SH. MILIONI 180.3
Rahim Kangezi akifafanua jambo kuhusiana na mapato na matumizi ya klabu hiyo (kushoto) ni Ibrahim Salim ambaye ni meneja wa fedha wa timu hiyo.*****************************************Na Mwandishi...
View Article*MAZISHI YA MGANGA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM DKT JUDITH KAHAMA MARO...
Gari lililobeba mwili wa marehemu likiwasili katika makaburi ya Kinondoni kwa mazishiMume wa marehemu Profesa Maro akiwa katika gari hilo na watoto wakeProfesas Maro akiwasili makaburiniWaziri wa Afya...
View Article*FAIDA NA HASARA YA KUTANUA KUKWEPA FOLENI ZA ASUBUHI
Askari wa Usalama Barabarani, Mwanamama, akimsimamisha dereva wa gari ndogo aliyekuwa akitanua pembeni kukwepa foleni ya asubuhi katika Barabara ya Kinondoni karibu na Ubalozi wa India, ambapo magari...
View Article*WAKAZI WA MAGOMENI WASOTEA MAJI KUTOKANA NA UJENZI UNAOENDELEA
Wakazi wa Magomeni, wakisotea kuchota maji kwa matumizi ya nyumbani katika mabomba yaliyokatwa pembezoni mwa barabara ya Morogoro eneo la Kwa Macheni. Wakazi hao wamezidi kutapa tatizo la maji...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA NETHERLAND ALIYEMALIZA MUDA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Netherland nchini Tanzania, Mhe. Ad Koekkoek, aliyemaliza muda wake nchini, wakati alipofika...
View Article