*OFISI YA RAIS YAZUNGUMZIA UENDESHAJI WA MCHAKATO WA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA...
Mkuu wa Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini,Ofisi ya Rais Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bi. Riziki Abraham (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari nchini juu ya Uendeshaji wa...
View Article*TAIFA STARS SASA MMEIVA KUPAMBANA, TUPENI RAHA WATANZANIA- TENGA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amesema kikosi cha Taifa Stars sasa kina uwezo wa kushindana katika mashindano yoyote, kwani tayari kimeiva.Akizungumza na wachezaji...
View Article*MAKOCHA POULSEN, MICHO WATABIRI MCHEZO WA KESHO KUWA MKALI
Kim Poulsen- TZMakocha wa timu hizo Kim Poulsen wa Taifa Stars na Sredojvic Micho wa The Cranes wamesema mechi ya kesho itakuwa ngumu kwa vile kila mmoja amejiandaa kuhakikisha anafanya...
View Article*HUYU NDIYE KOPLO WA JESHI ALIYEKAMATWA NA JINO LA TEMBO MKOANI MANYARA
Huyu ndiye Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania Jwtz, akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa akiwa na Jino la Tembo huko Mkoani Manyara hivi karibuni.
View Article*TAIFA STARS YAKUBALI KICHAPO CHA NYUMBANI BAO 1-0 DHIDI YA UGANDA
Mshambuliaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars),John Boko (14) akimiliki mpira mbele ya Beki wa timu ya Uganda ( The Cranes) wakati wa mchezo wa kuwania tiketi ya kucheza michuano ya (CHAN) mchezo...
View Article*MKUTANO MKUU WA TFF WAPITISHA MAREKEBISHO YA KATIBA
Mkutano Mkuu Maalumu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliofanyika leo (Julai 13 mwaka huu) umepitisha marekebisho ya Katiba yake, hivyo mchakato wa uchaguzi unatarajia kuanza wakati wowote.Wajumbe...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA MARK SIMMOBDS, KUH MASUALA...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw.Mark Simmonds,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo...
View Article*KUWAIT DEPUTY PRIME MINISTER AND MINISTER OF FOREIGN AFFAIRS PAID COURTESY...
Speaker of the National Assembly Hon. Anne Makinda welcomes the Deputy Prime Minister and Minister of Foreign Affairs of Kuwait Sheikh Sabah Al-Khalid Al-Hamad Al-Sabah when he paid a courtesy call to...
View Article*BRIGEDIA, MINDI WAWAKARIBISHA MASANJA NA SHILOLE CHAKULA CHA JIONI.
Afisa Ubalozi Mindi Kasiga (kulia) akimlaki msanii Shilole mara alipofika nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga Silver Spring, Maryland kwa nyama choma na chakula cha jioni maalum kwa ajili ya kuwaaga...
View Article*BALOZI MULAMULA AWASILI WASHINGTON, DC KUANZA MZIGO
Balozi Liberata Mulamula akishuka kwenye gari Bethesda, Maryland wakati akitokea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dulles uliopo Sterling, Virginia Ijumaa July 12, 2013. Mhe, Mulamula ndiye Balozi wa...
View Article*JICHO LA SUFIANIMAFOTO KUTOKA ABUJA NIGERIA, VICHWA VYA MBUZI KAMA NJUGU
Kijana mfanyabiashara akipita katika mitaa ya Jiji la Abuja, akiwa na Sinia lenye Vichwa vya Mbuzi akitafuta wateja. haikuweza kufahamika kuwa Mbuzi hao walichinjwa muda gani na kama kuna uwezekano wa...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AWASILI ABUJA KUHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mshauri Mkuu wa Makamu wa Rais wa Nigeria, Isaiah Balat, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View Article*MWANAFUNZI IFM KUZIKWA KESHO MAKABURI YA KINONDONI, NI WENDE LWENDO...
Na Father Kidevu MAZISHI ya Mwanafunzi na Rais wa Taasisi ya wanafunzi AIESEC- IFM, Wende Lwendo wa Mwaka wa Kwanza Uhandisi Kompyuta wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) aliyefariki juzi kwa kufa maji...
View Article*MECHI YA TAIFA STARS v/s UGANDA YAINGIZA SH. MILIONI 113/-
Mrisho Ngasa, akijaribu kuwatoka mabeki wa Timu ya Uganda, wakati wa mcheo wao uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar.***********************************Mechi ya kwanza mchujo ya kuwania...
View Article*RAIS TENGA AWASHUKURU WAJUMBE WA MKUTANO MKUU TFF
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga amewashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu kwa michango yao, na utulivu waliouonesha katika kupitisha marekebisho ya Katiba ya TFF ya...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA 12 WA AFRIKA WA KUJADILI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mfalme Mswati (ii) wakati walipokutana kwenye Mkutano wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya Ukimwi,...
View Article*TENDWA AVIPIGA STOP VYAMA VYA SIASA KUANZISHA MAFUNZO YA MGAMBO
NA MAGRETH KINABO - MAELEZOOFISI ya Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini imevitaka vyama vya siasa kutii agizo la kutoanzisha kambi za mafunzo ya kulinda amani maarufu kwa jina la mgambo , huku...
View Article*DRFA YAIFAGILIA TIMU YA FRIENDS RANGERS KUFUZU KUCHEZA LIGI DARAJA LA KWANZA
Viongozi wa Friends Rangers wakimhudumia mchezaji wao aliyefunga bao la kwanza jana, Robert Katabi aliyeumia baada ya kufunga bao hilo jana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Polisi Jamii kwenye...
View Article*UFUNGUZI WA MKUTANO WA WIZARA YA HABARI NA WANAHABARI DAR
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa akifungua mkutano kati ya Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo na waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari...
View Article