*KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUWA HEWANI JUMANNE JULY 23, 2013
Kipindi chako ukipendacho cha Kijiwe cha Ughaibuni kitaanza kurushwa tena kuanzia Jumanne wiki ijayo July 23, 2013 kipindi hiki kilisimama kutokana na pilikapilika ya sherehe ya miaka 3 ya Vijimambo...
View Article*ASANII WA WA KIZAZI KIPYA BONGO FLAVE NA WASANII WA FILM KUFAIDIKA NA SEMINA...
Kutoka Kulia niMwenyekiti wa TEHAMA Class na Msanii wa Kizazi Kipya Bongo Flave, Inspector Haorun aka Babu akiwa na watalaamu wa TEHAMA(ICT) wapili ni Diana Mtambalike ambaye ni Katibu wa kampuni...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA UKIMWI LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi, UNAIDS, Michel Sidibe, wakati walipokutana katika...
View Article*UNESCO KWA KUSHIRIKIANA NA MRADI WA SIDA YAENDESHA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI...
Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO Rose Haji Mwalimu akifafanua umuhimu wa mafunzo hayo ya Ujasiriamali kwa Redio za kijamii kwa washiriki ambayo yatawajengea uwezo wa kuboresha vipindi vyao na...
View Article*RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF TANZANIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumtambulisha Mkuu mpya wa...
View Article*RAIS KIKWETE AFUTARI PAMOJA NA WATOTO YATIMA IKULU DAR
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasabahi baadhi ya watoto yatima walioshiriki katika futari aliyoiandaa ikulu jijini Dar es Salaam leo.Watot yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali jijini Dar es...
View Article*MAKAMU WA RAIS AZUNGUMZA WATANZANIA WAISHIO ABUJA NIGERIA, AONDOKA LEO...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Watanzani ya waishio mjini Abuja, wakati alipokutana nao katika Makazi ya Ubalozi wa Tanzania...
View Article*SCHOLARSHIPS FOR TANZANIAN WOMEN
BackgroundMost of managers and leaders in Tanzania formal and informal business sectors are men. In order to address this gap,Evin School of Management is providing opportunities for Tanzanian women...
View Article*HII NDIYO NIGERIA KILA KITU KIJESHI JESHI
Askari wa Usalama na wa Jeshi la Nigeria, wakiwa wamerundikana nyuma ya gari wakati wakiwa wanaongoza moja ya msafara wa mmoja wa Viongozi waliohudhuria katika Mkutano wa 12 wa siku mbili wa Afrika...
View Article*JAJI STEVEN IHEMA NA WAKILI JESSE MGUTO KUONGOZA KAMATI ZA MAADILI ZA TFF
JAJI Steven Ihema na wakili mwandamizi, Bi. Jesse Mguto wataongoza kamati muhimu za maadili za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) zilizoundwa baada ya kufanya mabadiliko kwenye katiba ya...
View Article*WANANCHI SASA KUPATA TAARIFA ZA HUDUMA ZA RITA KWA SMS KATIKA TOVUTI NA...
Naibu Waziri Angellah Jasmine Kairuki akizungumza katika hafla ya uzinduzi rasmi wa huduma ya mpya ya kidijitali za Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) ambazo zitawawezesha wananchi wote...
View Article*TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA BILIONI 87 ZA UJENZI WA VITUO VYA KUHIFADHIA...
Waziri wa Fedha Dk.William Mgimwa (kushoto) akimpa mkono wa shukrani Mwenyekiti na Rais wa Benki ya Export Import ya Korea baada ya kusaini mkataba wa mkopo kwa ajili ya kujenga vituo vya...
View Article*HAPPY BIRTHDAY, WAANDISHI JIJINI DAR WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA MANDELA
Keki iliyoandaliwa na Idara ya Habari- MAELEZO kwa ajili ya kuadhimisha miaka 95 ya kuzaliwa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Mzee Nelson Mandela. Afisa Habari Mkuu wa Idara ya Habari- MAELEZO,...
View Article*LOWASSA AMFAGILIA RAIS KIKWETE
Na Swahili TVAliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Edward Lowassa, amemsifia Rais Jakaya Kikwete kuwa ameweza kuifanya Tanzania kupata heshima katika ulingo wa kimataifa, aliyasema hayo...
View Article*PRESIDENT KIKWETE MEETS STANDARD CHARTERED CEO ,LIZ LLOYD AT DAR STATE HOUSE
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete in conversation with Standard Chartered Bank Chief executive Officer (CEO) Liz Lloyd at Dar es Salaam State House this afternoon. On the left is Head of Corporate...
View Article*MAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANDISHI DAVID MAJEBELLE
Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa mwandishi mkongwe, David Majebelle. Baadhi ya wanafamilia weakiwa nyumbani kwa marehemu. Waombolezaji. Mwili wa marehemu David majebelle ukiwasili...
View Article*UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI KUSHIRIKI MAONYESHO YA KIMATAIFA MJINI...
Umoja wa Watanzania Ujerumani (U.T.U ) Kushiriki katika Festival ya"Brüderschaft der völker " mjini Aschaffenburg " Ujerumani. Kuanzia leo Ijumaa 19 hadi 21 Julai...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, AFUNGUA MKUTANO WA PAMOJA KATI YA TAASISI ZA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ddk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es...
View Article