Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF TANZANIA

$
0
0
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumtambulisha Mkuu mpya wa Shirika hilo Mama Francesca Moranditi, (hayupo pichani).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Ofisi ya Zanzibar Mama Francesca Moranditi,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,kujitambulisha kwa Rais,  
Mwakilishi wa Shirika la UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,(katikati) alipokuwa akimtambulisha Mama Francesca Moranditi,(kushoto) kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>