Askari wa Usalama na wa Jeshi la Nigeria, wakiwa wamerundikana nyuma ya gari wakati wakiwa wanaongoza moja ya msafara wa mmoja wa Viongozi waliohudhuria katika Mkutano wa 12 wa siku mbili wa Afrika uliokuwa ukijadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Abuja +12) uliofunguliwa na Rais wa Nigeria Dkt. Goodluck Jonathan, Julai 15-16, 2013 mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Nchi za Afrika.
Hii ndiyo Nigeria.............