TAARIFA YA MSIBA
Mpigapicha na Mhazini wa Chama cha Wapigapicha za Habari Tanzania (PPAT) LEAH SAMIKE anawatangazia kifo cha mumewe Bwana. HUMPHREY GEORGE LUPENZA, kilichotokea leo Saa 10:55 alfajiri katika Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.
Shughuli za msiba huo zinaendelea nyumbani kwa Marehemu, Kipunguni B-Ukonga Moshi Bar. Jirani na Kanisa la Pentekoste (Kanisa la Mabati). Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzako.
Marehemu ameacha Mke na watoto 5.
Tuungane na familia ya Marehemu katika kuipa faraja.