Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*WAKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA TUME YA MIPANGO WATEMBELEA BONDE LA MAGADI SODA ENGARUKA NA ZIWA NATRON

$
0
0
 Pichani juu na chini ni miongoni mwa mashimo ya Magadi Soda katika Bonde la Engaruka.
 Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa kwanza kushoto) akionja maji ya magadi soda yaliyotoka katika moja ya shimo lilichorongwa katika bonde la Engaruka alipoongoza timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango. Anayewamiminia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Bw. Gideon Nasari.
 Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Tume ya Mipango wakijaziwa maji ya magadi soda katika chupa za maji ya kunywa walipotembelea bonde la Engaruka ambako kuna hazina kubwa ya magadi soda. 
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango akitazama (admires) kipande cha magadi soda katika eneo la Ziwa Natron Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha alipoongoza timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka katika ofisi yake. Pamoja naye ni watoto wa kimasai waliokuwa wakiuza vipande hivyo vya magadi soda. Picha na Joyce Mkinga, Mkuu wa Mawasiliano Serikalini, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>