*FAMILIA YA MAREHEMU MZEE ARNOLD KAMBONAPANI NKHOMA YAENDESHA MISA MAALUM YA...
Mchungaji John Muhina wa kanisa Anglikana la Mtakatifu Andrea la Magomeni Mwembechai, akiendesha Ibada bya Misa maalum ya Shukrani kufuatia kifo cha Marehemu Mzee Arnold Kambonapani Nkhoma (100),...
View Article*MAWAZIRI WASITOKANE NA WABUNGE
Na Zamaradi Kawawa, Maelezo DodomaMwenyekiti aw Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba ameliambia bunge Maalum la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma kuwa Rasimu ya Katiba mpya inapendekeza Mawaziri...
View Article*31 WAITWA NGORONGORO HEROES KUIKABILI KENYA APRILI
Wachezaji 31 wameteuliwa kujiunga na timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) kwa ajili ya michuano ya Afrika ambayo fainali zake zitafanyika mwakani nchini...
View Article*YANGA, AZAM KUUMANA KESHO LIGI KUU BARA UWANJA WA TAIFA
Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inaendelea kesho (Machi 19 mwaka huu) kwa mechi kati ya Yanga na Azam itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10.30 jioni.Tiketi kwa ajili ya...
View Article*BALOZI IDDI AFUNGUA KITUO CHA HUDUMA ZA AFYA CHA KINA MAMA WAJAWAZITO PWANI...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort Bwana Massliano Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama...
View Article*WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA...
Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma,Fatma Ally, wakizindua kisima cha maji, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi huo iliyofanyika leo mchana wilaya ya...
View Article*UKAGUZI MAALUMU AKAUNTI YA TEGETA ESCROW
HADIDU REJEA 1) Kuchunguza uendeshaji wa mkataba wa kuzalisha Umeme kati ya kampuni ya IPTL na TANESCO 2) Kuchunguza kama wakati escrow inafunguliwa kampuni ya mechmar ilikuwa inamiliki IPTL,...
View Article*MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimtwisha ndoo ya maji Bi. Amina Rajab, mkazi wa Wilayani Mpwapwa, baada ya kuzindua rasmi Kisima cha Bomba la maji,...
View Article*KUTOKA UWANJA WA TAIFA YANGA INAONGOZA BAO 1-0 DHIDI YA AZAM FC MPIRA NI...
Kutoka Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, ambako kuna mtanange wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Azam Fc, Yanga inaongoza bao 1-0 lililofungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza....
View Article*KILA KIJIJI NDANI YA JIMBO LA CHALINZE KUPATA TREKTA KWA AJILI YA KILIMO -...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene, Kata ya Talawanda Jimbo la Chalinze katika Mikutano yake ya kampeni...
View Article*TANGAZO KWA WANAJUMUIYA WOTE WA TANZANIA NEW YORK
Waheshimiwa Wanajumuiya, Jumuiya za Watanzania na DICOTA zimekubaliana kufanya semina kwa Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ili kuwapa elimu ya uraia pacha na kuwaelimisha ili waweze kulielewa suala...
View Article*TASWA KUFANYA MABADILIKO MAKUBWA UTOAJI WA TUZO ZA WANAMICHEZO BORA TANZANIA
KAMATI ya Utendaji ya Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) iliyokutana jijini Dar es Salaam wiki iliyopita ilikubaliana kufanya mabadiliko makubwa katika Tuzo za Wanamichezo Bora...
View Article*WAKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA TUME YA MIPANGO WATEMBELEA BONDE LA...
Pichani juu na chini ni miongoni mwa mashimo ya Magadi Soda katika Bonde la Engaruka. Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Philip Mpango (wa kwanza kushoto) akionja maji ya magadi soda yaliyotoka...
View Article*MAANDALIZI YA UZINDUZI WA KAMPENI CCM YAANZA VIZURI CHALINZE
Maandalizi ya mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni za Ubunge kupitia CCM jimbo la Chalinze yaendelea vizuri ambapo jioni ya leo Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuhutubia...
View Article*DAKIKA YA 70 YANGA WANAKOSA PENATI, ERASTO NYONI APEWA KADI NYEKUNDU
Katika dakika ya 70 Yanga wanapata penati baada ya beki wa Azam Fc, Said Morad, kuunawa mpira katika eneo la hatari, na penati hiyo imepigwa na Hamis Kiiza na kupanguliwa na kipa wa Azam, Aishi Manula....
View Article*RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA IJUMAA
Na Magreth KinaboRais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuhutubia Bunge Maalum Machi 21, mwaka huu mjini Dodoma.Kauli hiyo imetolewa leo na Katibu wa bunge hilo, Yahya Khamis Hamad wakati akizungumza na...
View Article*DAKIKA YA 83 AZAM FC WANASAWAZISHA
Dakika ya 83, mshambuliaji wa Azam Fc, Kelvin Friday, anaisawazishia timu yake kwa shuti kali, mpaka sasa bao ni 1-1.
View Article*KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA
Mjumbe wa Bunge Maalum, Evod Mmanda akifafanua kanuni za bunge hilo leo mjini Dodoma.Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia) akizungumza na Mjumbe wa Bunge wa Maalum ambaye pia ni Spika wa Baraza la...
View Article*DAKIKA 90 ZIMEMALIZIKA YANGA YALAZIMISHWA SARE NA AZAM FC NA KUGAWANA POINTI...
Dakika 90 za Mtanange wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam Fc, kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, zimemalizika kwa Mabingwa wa Soka Tanzania Yanga kulazimishwa sare na kufanya...
View Article