Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*CCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE ZA UCHAGUZI MDOGO KWA KISHINDO CHALINZE

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimnadi mgombea wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo kwenye Uwanja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*ATCL YAANZA SAFARI ZAKE ZA KWENDA JIJINI MBEYA

 Kaimu mkurugenzi wa  biashara na masoko wa shirika la ndege la Air Tanzania, Juma Boma (wa pili kulia) akipanda ndege mpya aina ya CRJ-200 katika uwanja wa ndege Julius Nyerere muda mfupi kabla ya...

View Article


*VIDEO: MANCHESTER UNITED ILIVYOWASHANGAZA WATU LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UKAGUZI WA LESENI ZA BIASHARA

Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN LEO IKULU DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess, Victoria Lugrid Alice Desiree, alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam jana mchana.Princess...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

* YUSUPH MLELA AIBUKIA KATIKA MCHEZO WA MASUMBWI KWA KUIPIGA TAFU KLABU YA...

Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela (kushoto) akikabidhi sehemu ya vifaa vya mchezo wa ngumi kwa kocha wa klabu ya Msisiri, Daudi Muhunzi, ikiwa ni uboreshwaji wa klabu hiyo iliyopo CCM Msisiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MWANRI: UWANJA WA NDEGE WA MTWARA KUBORESHWA

 Mmoja wa viongozi wa Timu Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri (aliyevaa fulana nyeusi) akihoji uimara wa sehemu ya kutulia ndege wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*PANGANI FM REDIO YAPONGEZWA KWA KUKUZA KISWAHILI

Mzee Hadhrina Hatibu Msiagi wa kijiji cha Madanga akizungumza na Mtangazaji wa Pangani FM, Bi. Maajabu Ali kuhusu umuhimu wa kuwa na msemaji mahiri wa historia za kale za Pangani wakati wa zoezi la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*NAPE: CCM BADO INA IMANI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI

CCM bado inaamini katika Muundo wa Serikali mbiliCCM ina amini Muungano huu muhimu unadumishwa na kuimarishwaMuundo tulionao uboreshweTutangulize mbele Uzalendo na maslahi ya kweli ya nchi yetu.Katibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*SALUM MADADI ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MYA WA BENCHI LA UFUNDI TFF

Salum Madadi (pichani kushoto)***********************************************************Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Salum Madadi kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Ufundi.Uteuzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KLABU ZA YANGA, SIMBA ZAPIGWA FAINI YA SH. MIL 25

 Klabu za Yanga na Simba zimeagizwa kulipa jumla ya sh. milioni 25 kutokana na uharibifu wa viti na vurugu zilizofanywa na washabiki wao kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Al Ahly...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*TFF YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA MSHABIKI WA SOKA ALIYEFAFIRI...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mshabiki wa soka anayedhaniwa kuwa ni wa Yanga, Deodatus Mwakyangula kilichotokea jana (Machi 19 mwaka huu)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RWIZA, LIUNDA KUSIMAMIA MECHI ZA CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limewateua Watanzania Alfred Rwiza na Leslie Liunda kusimamia mechi zake za wikiendi hii na mwezi ujao.Liunda ameteuliwa kuwa Kamishna wa mechi ya Kombe la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BODI YA MIKOPO (HELSB) YAANZISHA UTARATIBU MPYA WA KUREJESHA KWA NJIA YA...

 Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo  ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*BARABARA ZA JUU KUONDOA TATIZO LA FOLENI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara ya Ujenzi Bw. Mrtin Ntemo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)  kuhusu maendeleo yaliyofikwa katika ujenzi wa barabara hapa nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE ZAENDELEA KIJIJI KWA KIJIJI

 Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Sam wa Ukweli akitoa burudani kwa wananchi wakazi wa kijiji cha Misakazi,Kata ya Ubena ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi 20, 2014. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE AWASILI MJINI DODOMA LEO, AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI,...

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, baada ya kuwasili katika ukumbi wa Tamisemi kwa ajili ya kuongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

*MASHINDANO YA MISS TANZANIA YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM, LEO.

Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam (hawapo pichani) kuhusu kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*RAIS KIKWETE KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA KESHO

Ofisi na Kazi ni popote, Mhe. Rais Jakaya Kikwete wakati akielekea mjini Dodoma leo mchana, kwa ajili ya kulihutubia Bunge kesho.UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

*HIVI UNGEKUWA NI WEWE UNGEFANYAJE????? PASUA MBAVU!!!!!!!!

NYUMBA NDOGO NI TAAABU, Jama mmoja alimuaga mkewe kuwa anasafiri kuelekea China na kwa bahati siku hizyo ndege iliyokuwa ikielekea China ilikuwa ni hii pichani ya Malaysia iliypotea, tena akasindikizwa...

View Article
Browsing all 13053 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>