Kutoka Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam, ambako kuna mtanange wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Azam Fc, Yanga inaongoza bao 1-0 lililofungwa na Didier Kavumbagu katika dakika ya 14 kipindi cha kwanza. Sasa Mpira ni mapumziko.
↧