Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*DAKIKA YA 70 YANGA WANAKOSA PENATI, ERASTO NYONI APEWA KADI NYEKUNDU

$
0
0
Katika dakika ya 70 Yanga wanapata penati baada ya beki wa Azam Fc, Said Morad, kuunawa mpira katika eneo la hatari, na penati hiyo imepigwa na Hamis Kiiza na kupanguliwa na kipa wa Azam, Aishi Manula. Katika harakati za penati hiyo, beki wa Azam Fc, Erasto Nyoni, amezawadiwa kadi nyekundu.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>