Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RIDHIWANI ATEMBELEA KUJINEA SHULE ILIYOEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, JIMBO LA CHALINZE, AAHIDI KUIKARABATI

$
0
0
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwwazu iliyong'olewa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Shule ya Msingi Kwazu ilivyobaki baada ya paa kuezuliwa na upepo mkali
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia  wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimanga  wakati wa mkutano wake wa kampeni za ubunge kuwania Ubunge jimbo la Chalinze, leo. Picha zote na Adam Mzee.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>