*RIDHIWANI ACHANJA MBUNGA KATIKA KATA YA FUKAYOSI NA KAMPENI ZAKE ZA KUWANIA...
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika Kijiji cha Mkenge, Kaya ya Fukayosi ....
View Article*RIDHIWANI AHANI MISIBA MIWILI CHALINZE
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kupitia CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akiwa kwenye msiba wa Zaidi muharami aliyefariki kwa ajali ya kugongwa na gari katika kata ya Fukayosi. Mgombea Ubunge wa Jimbo...
View Article*MATOKEO YA MICHEZO YA LIGI KUU BARA LEO, SIMBA YATEPETA KWA COASTAL UNION
Mshambuliaji wa Simba, Ramadhan Singano (kulia) akimiliki mpira mbele ya beki wa Coastal Union, Hamad Juma, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam,...
View Article*RIDHIWANI ATEMBELEA KUJINEA SHULE ILIYOEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu...
View Article*RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA MKOA WA TANGA, AZINDUA MRADI WA MAJI MKATA
Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga...
View Article*RAIS KIKWETE HAJAINGILIA MCHAKATO WA KATIBA-WAJUMBE
Na Magreth Kinabo –MaelezoUmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba la Tanzania Kwanza wasema kwamba Mhe. hotuba ya Rais,Jakaya Kikwete aliyoitoa wakati wa uzinduzi wa Bunge Maalum la Katiba...
View Article*RIDHIWANI SASA NI JINO KWA JINO LEO AFANYA KAMPENI KATA NZIMA YA KIMANGE
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimange wakati wa mkutano wa kampeni za ubunge . Wakina Mama wa kijiji...
View Article*TAMASHA LA BAGAMOYO MARATHON LAZINDULIWA
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya 4Beli, Deogratius Soka (kulia) akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo uliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani mwishoni mwa wiki. Wengine...
View Article*ISTIQAAMA YAICHAPA YOUNG VPO MABAO 4-3
Wachezaji wa timu za Young Vpo na Istiqaama, wakisalimiana wakati wakikaguliwa kabla ya kuanza mchezo wao wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Don Bosco Oysterbay jana jioni. Katika mchezo huo...
View Article*POLISI WAWATAWANYA WAANDAMANAJI WACHIMBAJI WADOGO WA MWASHINA KWA MABOMU YA...
Wachimbaji wakiandamana wilayani Nzega mkoani Tabora jana, wakipinga kufungwa kwa Machimbo yao ya Mwashina jirani na Mgodi wa Resolute Limited wilayani humo. Waandamanaji hao wadogo wadogo wa madini ya...
View Article*RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUCHANJA MBUGA
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akizindua shina CCM la vijana wa boda boda katika kijiji cha Pongwe Kiona, jana. Mgombea Ubunge katika Uchaguzi...
View Article*WASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI
Afisa mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini...
View Article*MAWAKALA WA REDIO JAMII WATAJA FAIDA ZA MRADI WA SIDA PANGANI
Afisa Mipango Kitengo cha Mawasiliano, Habari na Tehama UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akisisitiza jambo katika warsha ya siku tatu ya kutoa uwezo wa kuweka kumbukumbu ya vipindi na vyanzo vya habari kwa...
View Article*MECHI ZILIZOSALIA ZA LALA SALAMA MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU BARA
MACHI 26, 2014Yanga v/s Tanzania Prisons- Taifa, DarMgambo Shooting v/s Azam Fc- Mkwakwani, TangaMACHI 29, 2014Ashant United v/s JKT Oljoro- Chamazi, DarMACHI 30, 2014Mbeya City v/s Tanzania Prisons-...
View Article*PRESENTATION ON "WOMEN POLICE LEADING AJD SUCCEEDING"
Senior Law Enforcement Advisor from the International Criminal Investigative Training Assistance Program ( ICITAP) of the U.S. Department of Justice Ms. Bonnie Lowe Welsh (standing), elaborating a...
View Article*KAMATI ZA BUNGE MAALUM ZAFANYA UCHAGUZI WA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WAO
Mwenyekiti wa muda wa kamati No. 10 ya Bunge Maalum akitoa maelekezo ya namna ya kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kamati hiyo ilipokutana katika ukumbi wa St. Gasper kuchagua Mwenyekiti na Makamu...
View Article*BAADA YA IDDI BONGE KUSHINDA KWA K.O SASA AMTAKA MCHUMIATUMBO
Bondia Ali Bugingo (kushoto) akichapana na Hassani Mandula wakati wa pambano lao la utangulizi kwenye pambano la mabondia wa uziti wa Juu, Iddi Bonge na Mwakasanga. Katika pambano hilo, Mandula...
View Article*MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MAMA MRS AURELIA FRANCIS NSOLO DMV
Picha ya marehemu mama Mrs Aurelia Francis Nsolo aliyefariki Marcha 17, 2014 Tanzania na kufanyika misa ya kumbukumbu College Park, Maryland. siku ya Jumapili March 23, 2014. Picha kwa hisani ya...
View Article*KARIBUNI KUPATA HUDUMA ZILIZOTAJWA 'HAIR CUTTING BURBER SHOP'
Kwa huduma za saluni usisite kufika eneo hili katika Kijiji cha Mkenge.Kijana Othman Michuzi, baada ya kusota porini akizunguka na mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete, katika kampeni...
View Article