*KASEBA NA MASHALI NI PAMBANO LA KIBABE ZAIDI NI MANZESE V/S MWANANYAMALA
MARASTA WAKUTANISHWA, Japhet Kaseba (kushoto) akipozi na Thomas Mashali, wakati wa utambulisho wa pambano lao la jumamosi.****************************************************Hivi karibuni...
View Article*RAIS KIKWETE AFUNGUA RASMI BARABARA YA MKATA HANDENI KOROGWE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wengine wa wilaya ya Handeni na Mkoa wa Tanga wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua rasmi barabara ya kilometa 119 ya Mkata...
View Article*BREAKING NEEEEEWZZZ!!!!!! MKUU WA MKOA MARA JOHN TUPA AFARIKI GHAFLA
Habari zilizoufikia mtandao huu hivi punde zinasema kuwa, John Tupa, Mkuu wa Mkoa wa Mara, (pichani) amefariki ghafla muda mchache uliopita. Kwa mujibu wa mtoa habari ni kuwa marehemu Tupa, alikuwa...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA UKARABATI WA BARABARA YA KOROGWE HADI MKUMBARA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Wziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli(kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier(watatu...
View Article*KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha kwanza cha kamati ya Uongozi baada ya kuundwa leo. Kamati hiyo inayoundwa na wenyeviti wa Kamati za Bunge Maalum wote 12 pamoja na...
View Article*HABARI KUTOKA TFF LEO, KORTI YAAGIZA TFF IKAMATE MIL 106/- KULIPA WACHEZAJI...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) tumepokea amri ya Mahakama Kuu (Kitengo cha Kazi) kukamata sh. milioni 106 za klabu ya Yanga kutokana na mapato ya mlangoni kwenye mechi zake ili kuwalipa...
View Article*MAJINA WA VIONGOZI WA KAMATI 12 ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA NA KAMATI YA...
Na Magreth Kinabo, MaelezoDodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Samwel Sitta leo, ametangaza majina ya wenyeviti na makamu wenyeviti wa Kamati za bunge hilo.Majina hayo yametangazwa na...
View Article*RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA MAABARA YA SHULE YA SEKONDARI MADAGO KOROGWE
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa Maabara ya shule ya Sekondari Madago, wilaya ya Korogwe jana mchana. Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi...
View Article*BALOZI IDDI AKUTANA NA TAASISI ZA UWEKEZAJI VITEGA UCHUMI KUTOKA WA KAMPUNI...
Na Othman Khamis Ame, OMPRMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Taasisi na washirika wa Maendeleo bado wana fursa nzuri na pana ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika...
View Article*MANCHESTER UNITED ILIVYOTEPETA KWA MANCHESTER CITY JANA USIKU 3-0
Mshambuliaji wa Man City, Edin Dzeko (kulia) akiruka juu kumiliki mpira mbele ya beki wa Man U, wakati wa mtanange wao uliopigwa Uwanja wa Old Trafford jana usiku. Katika mchezo huo Man ililala kwa...
View Article*KINANA AANZA ZIARA MKOA WA DAR ES SALAAM
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi kwenye mradi wa ujenzi wa tangi la maji katika eneo la Tabata Kimanga, akiwa katika ziara ya siku moja katika wilaya ya Ilala, Dar es...
View Article*MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA DARAJA LA KIGAMBONI
Meneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China Railway Construction Engineering Group and Major Bridge Co. Ltd (CRCEG-MBEC JV) akionesha jinsi ambavyo daraja...
View Article*CHUO CHA VETA CHATAMBULISHA MRADI WA USHIRIKIANO NA UJERUMANI 'GERMAN DUAL...
Meneja Mradi wa "German Dual System Apprenticeship"(katikati) Martin Mac Mahon akizungumzia juu ya mradi ambao German wameshirikiana na Chuo cha VETA nchini katika kuhakikisha wanaboresha maswala ya...
View Article*NDUGU WA MTANZANIA MICHAEL AGUSTINE LUKINDO- ALIYEFARIKI WISCONSIN...
Michael Agustine Lukindo enzi za uhai wake.Kuna Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, wanatafutwa ndugu zake. ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi...
View Article*UZINDUZI WA MCHAKATO WA KUANZISHA TIBA KWA KADI KATIKA HALMASHAURI YA MJI...
Meneja wa Bima ya Afya – Mkoa wa Tanga, Bw. Ally Mwakababu (kushoto) akitoa maelezo ya utangulizi wakati wa ufunguzi wa kikao cha Timu ya Uendeshaji wa Huduma za Afya ya Halmashauri (CHMT) kikijadili...
View Article*TANZANIA'S BUSINESS MOGUL MOHAMMED DEWJI ON INVESTING LOCALLY
According to the World Bank, Tanzania's economy has been growing steadily for the last decade.One of the companies that has benefitted most from that growth is Mohammed Enterprises Tanzania Limited...
View Article*MKUU WA WILAYA YA SHINYANGA AWATAKA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA...
Afisa habari kitengo cha habari Umoja wa mataifa nchini Tanzania(UNIC) Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza katika viwanja vya Mazingira Senta mjini Shinyanga kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha...
View Article*RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI DKT...
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu kwa mazungumzo Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Mheshimiwa Dkt. Frank-Walter Steinmeier. Waziri huyo aliwasili nchini jana kwa ziara ya kikazi ya siku...
View Article