Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*ISTIQAAMA YAICHAPA YOUNG VPO MABAO 4-3

$
0
0
 Wachezaji wa timu za Young Vpo na Istiqaama, wakisalimiana wakati wakikaguliwa kabla ya kuanza mchezo wao wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Don Bosco Oysterbay jana jioni. Katika mchezo huo Istiqaama ilishinda mabao 4-3.
 Nahidha wa timu ya Young Vpo, Abuu Bilal, wa tatu mwenye njano, akisalimiana na wachezaji wa Istiqaama kabla ya kuanza kwa mtanange huo.
 Kikosi cha Young Vpo.
Kikosi cha Istiqaama.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>