Quantcast
Channel: SUFIANIMAFOTO
Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

*RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUWATEKA WANANCHI WA CHALINZE KWA KAMPENI ZAKE

$
0
0
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea Kadi ya Chama chga Chadema iliyorudishwa kwake na Bw. Hussein Yahya aliekuwa Katibu wa Chadema katika Kijiji cha Hondogo leo Machi 29,2014.Picha na Othman Michuzi
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akimvalisha Kofia ya CCM,Bw. Hussein Yahya aliekuwa Katibu wa Chadema katika Kijiji cha Hondogo mara baada ya kujiunga na CCM leo.
 Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo,leo.
  Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akishiriki kuruka sambamba na wakina Mama wa Kabila la Wamasai,wakati alipowasili kwenye Kitongoji cha Nameloki Chatanga,Kijiji cha Umasaini,Kata ya Mandera.
 Kikundi cha Ngoma kinachofahamika kwa jina la Muamko,kikitoa burudani ya kucheza Ngoma aina ya Selo ya Kabila la Wazigua wakati wa Mkutani wa Kampeni za CCM zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kijiji cha Magole,Kata ya Mandera leo Machi 29,2014.Picha na Othman Michuzi
Akionyeshwa picha katika kamera
 Ridhiwani, akiendelea kuwahutubia wananchi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 13053

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>