*KIGODORO, KHANGA MOKO NDEMBENDEMBE, TISHETI NDEMBENDEMBE ZAPIGWA STOP MISS...
Na Michael Maurus, Dar es SalaamBARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA), limeitaka Kamati ya Miss Tanzania kutohusisha burudani zinazokiuka maadili ya Mtanzania wakati wa mashindano yao ya urembo mwaka...
View Article*WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA MGENI RASMI TUZO YA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 -...
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The...
View Article*RIDHIWANI AITEKA PERA, WANANCHI WAAHIDI KUMPIGIA KURA ZA KUTOSHA APRILI 6
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete akihutubia wakazi wa kijiji cha Pera wakati wa mkutano wa kampeni za Ubunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani aliwaambia wananchi hao kura yao ya...
View Article*BUNGE MAALUM LA KATIBA LAPITISHA AZIMIO LA KURA YA MSETO
Na Magreth Kinabo – MAELEZO, DodomaHatimaye baada ya mvutano wa baadhi wa wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba kuhusu upigaji wa kura ya siri na ya wazi kuendelea leo Mwenyekiti wa Kamati ya Kanuni...
View Article*RAIS KIKWETE AWATUNUKU TUZO WASHINDI WA TUZO YA RAIS YA MZALISHAJI BORA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli...
View Article*WANANCHI WA MJI WA KOROGWE WAUPOKEA KWA KISHINDO MPANGO WA TIKA, WACHANGIA...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Ngalawa akifungua mkutano wa siku ya wadau wa Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA) ambapo Lengo la mkutano huo ilikuwa ni kuchukua maoni yao na kuwaeleza...
View Article*WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO KUANDAA KONGAMANO
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yenye jukumu la kusimamia sekta ya Vijana nchini imeandaa Kongamano la Vijana kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu kuhusu Wajibu wa...
View Article*CHEKI VIDEO MPYA YA WAKONGWE, PROF, JAY, J. NATURE NA JAY MOE, WAMETISHA NA...
Na Dina Ismail, Dar es SalaamWASANII watatu wakongwe na maarufu wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Juma Mchopanga ‘Jay Moe’, Juma Kassim ‘Nature’ na Joseph Haule ‘Profesa Jay’ wamerekodi kwa pamoja wimbo...
View Article*SHOMARI KAPOMBE BADO NJIA PANDA KUTUA YANGA AU AZAM, SIMBA, MMMH!!!!!!...
Jangwani au Chamazi? Shomary Kapombe anataka kucheza timu ambayo itashiriki michuano ya Afrika mwakani.***********************************************************Na Mahmoud Zubeiry, Dar es...
View Article*JAMAA WANAVIJINENOOOOOOOOOO!!!!!!!!!
Hili ndilo neno la leo huku Kitaani kwetu, Eti KAMA GEREZA NI CHUO CHA MAFUNZO MPELEKE MWANAO TUONE......
View Article*MAJANGA YA MVUA YA JANA JIJINI DAR
Roli likiwa limekatiza barabara baada ya kushindwa kupandisha mlima na kuteleza hadi kuingia mtaroni pembezoni mwa barabara ya Goba kutokea Mbezi Luisi, karibu na Mbezo Luxy, kutokana na utelezi wa...
View Article*DKT. BILAL ASHIRIKI MAZIKO YA JOHN TUPA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akimpa pole mjane wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa Mama Katherine Msamati baada ya mazishi...
View Article*WATANZANIA WAZUIA MWENZAO MIKE LUKINDO MADISON, WISCONSIN KUCHOMWA MOTO
Watanzania Wisconsin wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Michael Lukindo aliyefariki Jumapili ya March 16, 2014 wameomba msaada kwa Watanzania wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani...
View Article*RIDHIWANI KIKWETE AZIDI KUWATEKA WANANCHI WA CHALINZE KWA KAMPENI ZAKE
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akipokea Kadi ya Chama chga Chadema iliyorudishwa kwake na Bw. Hussein Yahya aliekuwa Katibu wa...
View Article*MASHALI AMGALAGAZA KASEBA KWA POINTI
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikwepa konde la Japhet Kaseba, wakati wa pambano lao kuwania Ubingwa wa WBO uliofanyika kwenye ukumbi wa UBO Africa Mashali. Sabasaba jijini Dar es Salaam. Katika...
View Article*'BIG RESULTS NOW' YAKUSANYA MABILIONI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA
Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro Park, Misugusugu Kibaha, leo Machi 28, 2014. Semina...
View Article*KINANA ATUA SUMBAWANGA KUANZAN ZIARA YA MKOA WA RUKWA
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (Pichani), anatarajiwa kutua mjini Sumbawanga, leo saa tano asubuhi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi mkoani Rukwa. Taarifa zilizopatikana kutoka Ofisi ya CCM...
View Article*VIJANA WAUKUBALI 'MUZIKI' WA RIDHIWANI, WAKILI UPINZANI 'KUSHNEY'
Ridhiwani ahakikishiwa kura kata ya MandelaWananchi wa Chalinze wasema dhihaka zinazotolewa na wapinzani kuisha tarehe 6Wafugaji wamuunga mkono.Wapinzani warudisha kadi kama mvuaMgombea Ubunge Jimbo la...
View Article*MGAMBO JKT WALIVYOANZA KUPOTEZA MATUMAINI YA YANGA KUWANIA UBINGWA
Na Mwandishi Wetu, TangaMABINGWA wa Soka Ligi Kuu ya Bara, Yanga Sc, jana wameangukia pua na kurudi hatua moja nyuma katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya baada ya kukubali kichapo cha mabao...
View Article*WANAFUNZI WA UDOM MWAKA WA MWISHO, WAFURAHIA KUJIUNGA NA PPF
Meneja Uhusiano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, akitoa mada kuhusiana na huduma mbalimbali zitolewazo na Mfuko huo kwenye semina iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa wanafunzi wa mwaka...
View Article